permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wewe ni ile aina ya wale watu wa Rage alioshindwa kuwapunguza hapo Simba. Soma hoja yako ya awali ilikuwa nini na ni kipi umejibiwa.Sina hakika kama wewe ni shabiki wa mpira labda rede. Hakuna timu isiyofungwa katika Ulimwengu huu wa soka. Vilabu vikubwa vinapigika hadi nyumbani. Iweje uone maajabu simba kufungwa , tena ugenini?