Sina hakika kama wewe ni shabiki wa mpira labda rede. Hakuna timu isiyofungwa katika Ulimwengu huu wa soka. Vilabu vikubwa vinapigika hadi nyumbani. Iweje uone maajabu simba kufungwa , tena ugenini?
Vipi kuhusu ule msemo wa Manara kwamba Kule usukuleni wote ni hamnazo ?
Na vipi kuhusu ule msemo wa Luc Eymael kwamba Mashabiki wa utopolo ni kama manyani?
Umejibiwa kirahisi baada kuangukia kwenye makundi hayo yote mawili yaani lile la Manara na lile la Eymael