Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

Naunga mkono hoja, ao wachezaji wengi wao wanaiongezea gharama zisizo na ulazima klabu, Aiwezekani bus la klabu ni jipya lakini inabidi mda wote libebe magunia ya mkaa kwakua wengi wa wachezaji umri wao unahitaji kuota moto kabla na baada ya mechi.

Wachezaji wenye umri mdogo pia wanalalamika kua captain anawalazimisha wawe Wana waamkia wachezaji wa zee eti kwakufanya hivyo watafika mbali katika soka kama yeye captain John.

Captain John ana sisitiza atauko maofisini vijana uwa Wana waamkia watu wazima na Nilazima vijana waweke zamu ya kuwasha moto kilasiku Ili wazee waote moto.
 
Naunga mkono hoja, ao wachezaji wengi wao wanaiongezea gharama zisizo na ulazima klabu, Aiwezekani bus la klabu ni jipya lakini inabidi mda wote libebe magunia ya mkaa kwakua wengi wa wachezaji umri wao unahitaji kuota moto kabla na baada ya mechi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom