GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Chris Mugalu
2. Pascal Wawa
3. Meddie Kagere
4. Bernard Morrison
5. Saido Kanoute
6. Thadeo Lwanga
Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja, ao wachezaji wengi wao wanaiongezea gharama zisizo na ulazima klabu, Aiwezekani bus la klabu ni jipya lakini inabidi mda wote libebe magunia ya mkaa kwakua wengi wa wachezaji umri wao unahitaji kuota moto kabla na baada ya mechi...
Banda!....hapana itakuwa kosa kubwaOndoa Kanote weka Bwalya na Banda