Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

Morison kagoma kuongeza mkataba
hivi makolowizard bado mnaamini Morison kapewa mapumziko kweli [emoji2957]
 
Mpango uliopo ni kumleta Victor Akban wa Coast Union.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa ni fundi sana sema haimbwi kwa vile anachezea timu ndogo hapa Tanzania. Kwa kiasi kikubwa ameisadia timu yake ya Coastal Union kufika hapo ilipo. Simba wakimchukua watakuwa wamepata mtu. Mwingine ni ni Kijana Sopu kutoka timu hiyo hiyo ya Coastal Union combination ya hawa wawili huwa inazisumbua sana timu nyingi hasa Yanga na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…