Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

Ungeandika kuhusu yale mambo ya kinyumenyume ningekuelewa
 
Kuna ukweli hapa miguu kama imefungwa magogo...
Mbona wale wanajificha huko Avic hawajionyeshi mazoezi yao
Chukua hii na Niamini kwa 100% kuwa performance mbaya ya Simba SC ya sasa inatokana na Wachezaji wa Simba SC Kurogwa kwa Majina yao Kufunikwa kabisa na Mtaalam Hatari wa Yanga SC kutoka Kilosa Mkoani Morogoro.

Je, unajua ni kwanini Fiston Mayele wa Yanga SC amewindwa mno na Waganga wa Simba SC ili wamemshindwa?

Je, unajua ni kwanini Clatous Chama wa Simba SC anawindwa mno na Waganga wa Yanga SC ila wamemshindwa?

Kwa sasa Majibu yao ninayahifadhi.
 
Toka mwanzo unaliongelea hili niliona ulikuwa sahihi sema tu watu walikuwa hawakuelewi
Asante Mkuu kwa Kunielewa haraka hapa JamiiForums. Kuna Watu wananichukulia poa ila hawajui tu Karama Kubwa niliyonayo.
 
Mawazo ya kijima/kipopoma. Mjifiche, muwashe moto uwanjani au mpasue nazi njia panda, horoya lazima awapige.
 
Yani kabisaaaa.
 
Kama timu lenu bovu ni bovu tu
Tuache kutafuta mchawi ..timu ya Simba ni mbovu' tu na inahitaji 'overhaul ' Kwa wachezaji karibia zaidi ya 70 na kuiunda upya Kwa misimu ijayo...Hawa wachezaji wengi ndo uwezo umefika kwenye ceiling, na Kwa Sasa wanakula mishahara ya Bure tu, hats ukileta kocha gani itakuwa Bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…