Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola.

Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia 18 Mmoja yuko Simba B, Mwingine anapiga Ndondo Dar nzima jina la Utani tunamwita Bebeto na wengine ni kutoka katika Vilabu vya Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika. Nipeni hizo Bilioni 2 tu na Wana Simba SC wote duniani mtafurahi Msimu ujao.

Fanyeni haraka kwani kuna Mtu Mmoja namwogopa mno kwakuwa nafanana nae kwa Jicho la Kuangalia na Kumjua Mchezaji mzuri ambaye ni Mtaalam Ali Mayai Tembele. Na wale msiojua hizi Sifa mnazompa Injinia Hersi Said wala si zake kwani anayewasaidia hasa Yanga SC kufanya Usajili mzuri ni Ali Mayai Tembele.
 
Ni juzi kati tu hapa ulitoka kumponda mmiliki wa hiyo timu! Halafu leo unakuja kuwaomba viongozi (sijui ni viongozi gani hao) eti wakupe bilioni 2 za usajili!!

Hivi kuna wakati dishi linayumba, au!! By the way, who are you!!!
Huyu ni mtu wa kusahau kauli zake
 
Msimu ujao azam ana nafasi kubwa kutwaaa ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…