GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola.
Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia 18 Mmoja yuko Simba B, Mwingine anapiga Ndondo Dar nzima jina la Utani tunamwita Bebeto na wengine ni kutoka katika Vilabu vya Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika. Nipeni hizo Bilioni 2 tu na Wana Simba SC wote duniani mtafurahi Msimu ujao.
Fanyeni haraka kwani kuna Mtu Mmoja namwogopa mno kwakuwa nafanana nae kwa Jicho la Kuangalia na Kumjua Mchezaji mzuri ambaye ni Mtaalam Ali Mayai Tembele. Na wale msiojua hizi Sifa mnazompa Injinia Hersi Said wala si zake kwani anayewasaidia hasa Yanga SC kufanya Usajili mzuri ni Ali Mayai Tembele.