Uongozi wa Simba SC tafadhalini tutengeeni Siku Maalum kwa Sisi Mashabiki 'Kuwapiga' Wachezaji wetu Wanaozingua

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....

1. Clatous Chama
2. Henock Inonga
3. Said Ntibanzonkiza
4. Pape Ousmane Sakho
5. Shomary Kapombe
6. Kibu Denis
7. Saido Kanoute

Na kuna Mchezaji Mmoja tajwa hapa Kiwango chake Kinashuka haraka kwakuwa karudia Upuuzi wake wa Kuagiza Malaya kutoka South Africa na Kunywa Pombe kijiweni Kwake Beach Kidimbwi muda mwingine akiungwa mkono na Rafiki yake Wakili Chizi wa Jangwani Mafurikoni akiwa na Demu wake DJ wa Mawingu FM aishiye Mbezi Maua katika Nyumba ya Rubani maarufu wa ATCL.
 
Samaleko, no hard feelings. Hatuwezi kuwa na nyakati nzuri kila siku, changamoto kama hzi ndio njia pekee ya kutuonesha wapi tunalegalega. I believe next season tutakuwa bora zaidi endapo usajili wa maana utafanyika.
 
Mimi sijui hata tunalalamika nini, kwasababu tuna makombe mawili kibindoni tunataka nini tena wakati wenzetu kama AZAM hawana hata moja.

Tuna kombe la Quarter final na kombe lakumfunga Uto kama Mwenyekiti aliyoahidi kwenye mkutano si maendeleo madogo hata kidogo.
 
Nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wa Simba na iwapo kweli wachezaji wamelipwa stahiki zao zote. Wachezaji ni wale wale " walioipress" Yanga mpaka ikachanganyikiwa taifa, wakafanya hivyo kwa Waydad mechi zote mbili Dar na Morocco.

Halafu ukiangalia mechi ya jana na Azam unaona timu ikicheza hovyo kabisa na haina morali kabisa. Na mechi ya jana pamoja na kuwa baadhi ya wacheza mmoja mmoja walizungua lakini timu nzima ilikosa morali ya ushindi kitu ambacho sio kawaida..
 
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni...
Mkuu Genta nikuongezee tu kitu kidogo haitasaidia kuwapiga wachezaji wazembe bila kwanza kuanza kuwawajibisha viongozi wazembe.

Miaka ya nyuma sana Simba na Yanga walikuwa na utamaduni wa kutembeza bakora kwa viongozi wa timu zipofanya vibaya hasa ikionekana wazi kuwa timu imeshindwa kwa hujuma au uzembe.

Kama viongozi wakiwa imara huwezi kuona upuuzi kama wa jana ambao wachezaji walicheza bila morali kabisa wala kutafuta ushindi kwa nguvu.

Na ndio maana wakoloni walikuwa akikuta shamba kalijalimwa vizuri walikuwa wanachapa nyapara then hasira za nyapara zitaishia kwa kwa mtu aliyelima vibaya.

Vivyo hivyo Simba bila kuwawajibisha viongozi wazembe kamwe hawataweza kuwawajibisha wachezaji wabovu.

Na uzembe wa Simba ulianzia lwenye usajili wala wasitafute mchawi.
 
Nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wa Simba na iwapo kweli wachezaji wamelipwa stahiki zao zote. Wachezaji ni wale wale " walioipress" Yanga mpaka ikachanganyikiwa taifa, wakafanya hivyo kwa Waydad mechi zote mbili Dar na Morocco. Halafu ukiangalia mechi ya jana na Azam unaona timu ikicheza hovyo kabisa na haina morali kabisa. Na mechi ya jana pamoja na kuwa baadhi ya wacheza mmoja mmoja walizungua lakini timu nzima ilikosa morali ya ushindi kitu ambacho sio kawaida..
Shida hampo vizuri na kamati ya ufundi....... This is Africa,,, game na Yanga wenzenu waliitoa kafara hio game nyie mkazama kichwa kichwa......
 
Tunalalamika nini makolo wakati msimu huu tuna makombe matatu kibindoni, cha muhimu tujipongeze hatujatoka kapa.View attachment 2614091View attachment 2614092
JamiiForums123767269.jpg
 
Uzuri kelele nyingi zinapigwa na utopolo tuliowakanda, kelele zao hazitusumbui.
 
Shida hampo vizuri na kamati ya ufundi....... This is Africa,,, game na Yanga wenzenu waliitoa kafara hio game nyie mkazama kichwa kichwa......
Hiki kitu wengi hawakioni kabisa wao wameshikilia kuwa waliifunga Yanga wakati Yanga wao wanatumia Ile mechi kama stepping stone ya kushinda mechi zilizoko mbele na wachezaji wa Simba wanaiona Ile mechi kama point ya ku relax maana wameifunga yanga
 
Maana tokea hio game simba ndo akapotea kabisa na Yanga akaja na nguvu zaidi
 
Mkuu Genta nikuongezee tu kitu kidogo haitasaidia kuwapiga wachezaji wazembe bila kwanza kuanza kuwawajibisha viongozi wazembe.

Miaka ya nyuma sana Simba na Yanga walikuwa na utamaduni wa kutembeza bakora kwa viongozi wa timu zipofanya vibaya hasa ikionekana wazi kuwa timu imeshindwa kwa hujuma au uzembe.

Kama viongozi wakiwa imara huwezi kuona upuuzi kama wa jana ambao wachezaji walicheza bila morali kabisa wala kutafuta ushindi kwa nguvu.

Na ndio maana wakoloni walikuwa akikuta shamba kalijalimwa vizuri walikuwa wanachapa nyapara then hasira za nyapara zitaishia kwa kwa mtu aliyelima vibaya.

Vivyo hivyo Simba bila kuwawajibisha viongozi wazembe kamwe hawataweza kuwawajibisha wachezaji wabovu.

Na uzembe wa Simba ulianzia lwenye usajili wala wasitafute mchawi.
Uko sahihi kwa 100% Mkuu.
 
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....

1. Clatous Chama
2. Henock Inonga
3. Said Ntibanzonkiza
4. Pape Ousmane Sakho
5. Shomary Kapombe
6. Kibu Denis
7. Saido Kanoute

Na kuna Mchezaji Mmoja tajwa hapa Kiwango chake Kinashuka haraka kwakuwa karudia Upuuzi wake wa Kuagiza Malaya kutoka South Africa na Kunywa Pombe kijiweni Kwake Beach Kidimbwi muda mwingine akiungwa mkono na Rafiki yake Wakili Chizi wa Jangwani Mafurikoni akiwa na Demu wake DJ wa Mawingu FM aishiye Mbezi Maua katika Nyumba ya Rubani maarufu wa ATCL.
Chizi ww,basi tumsajili mama yako
 
Kupiga wachezaji hakuleti ushindi
 
Back
Top Bottom