Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake.

Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena.

Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila wachezaji wazuri huwezi kuchukua ubingwa.

Simba inahitaji wahuni wa mpira na watoto wa mjini, kule utopwinyo kuna GSM msiwachukulie poa, hawa ndio home shopping center, hao ndio silent ocean, kipindi cha awamu ya nne kidogo wauze nchi. Nani asiyejua umafia wao na figisu zao bandarini enzi za awamu ya nne,ila mwamba Hans Pope alipambana nao kimafia.

Wasingeweza kushindana na mafia aliyetaka kumpindua Nyerere.

Simba SC wapisheni wahuni na watoto wa mjini ,hapo sio kanisani wala msikitini
 
Akili kama hizi bado zipo?
Hela ikiwepo mambo yote yanawezekana, haihitaji jambo lingine la ziada.
 
Akili kama hizi bado zipo?
Hela ikiwepo mambo yote yanawezekana, haihitaji jambo lingine la ziada.
Mpira hauko hivyo,hela anazo Bakhresa na Azam yake,wako wapi,mpira unataka fitna na uhuni kidogo.
 
Bakhresa ana hela za wapi?
Walishindwa kulipa mishahara ya kina Bocco, mpaka wakaondoka.
Bakhresa hela anayo sema mtu wa dini sana yule mpira na dini wapi na wapi,ile timu ina kila kitu,uwanja na miundombinu yote,wamekosa wahuni tu pale juu
 
Bakhresa hela anayo sema mtu wa dini sana yule mpira na dini wapi na wapi,ile timu ina kila kitu,uwanja na miundombinu yote,wamekosa wahuni tu pale juu
Azam budget yao ni kawaida sana...
Hiyo sababu ni mfu, Ukiwa na hela haina haja ya kugombea wachezaji.
 
Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake.
Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena.
Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe,sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli,bila wachezaji wazuri huwezi kuchukua ubingwa.Simba inahitaji wahuni wa mpira na watoto wa mjini,kule utopwinyo kuna GSM msiwachukulie poa,hawa ndio home shopping cenyer,hao ndio silent ocean,kipindi cha awamu ya nne kidogo wauze nchi.Nani asiyejua umafia wao na figisu zao bandarini enzi za awamu ya nne,ila mwamba Hans Pope alipambana nao kimafia.
Wasingeweza kushindana na mafia aliyetaka kumpindua Nyerere.
Simba SC wapisheni wahuni na watoto wa mjini ,hapo sio kanisani wala msikitini
Hasa kamati za usajili
 
Kwa hiyo unataka uchukue nafasi ya yule hawara wa mo?
 
Back
Top Bottom