Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

Rweymamu aliwahi kugombana na uchebe siku simba inacheza na mbeya city sababu uchebe anataka deo kanda aingie yeye anataka dilunga aingie mwisho kanda akaingia na akafunga goli. Baada ya kufunga uchebe akamfata rweymamu na kumwambia dilunga, dilunga. Pia ni mvushaji mkubwa wa taarifa za simba kwa vyombo vya habari. Yeye kama meneja wa timu anahusikaje na sub. Kama simba inataka kufanya vizuri wapelekwe timu b
 
Ukimuona mtu leo anasema hivi kesho anageuka na kusema tofauti na alivyosema mwanzo ujue huyo ni MUHUNI. Maneno ya H.Polepole,mtu anayejitambua hawezi kusema Jambo bila kulifanyia utafiti wa kutosha Swot Analysis na akisema ujue ndiyo utakuwa msimamo wake.Watu wengi ambao leo husema hivi na baadae kubadilika hao ni wahuni wanasema Jambo kwa maslahi yao binafsi.
 
Ukisikiliza maojiano ya kocha Hitimana na wahandishi wa habari utaona picha tofauti kabisa na maelezo ya huu uzi ulioletwa hapa.
 
Umeongea vema sana mkuu.Hakika ukimfatilia GENTAMYCINE threads zake zote utaona ni mtu mmoja hivi asiejielewa
 
Hii ndio ilikuwa sababu ya hayo yote yaliyotekea.
Sheria ilirekebishwa kutokana na Jnga la Covid. Hivyo sub inafanyika kwa mikupuo mitatu, hivyo wachezaji wakiingia wawili kwa pamoja inahesabika ni mkupuo mmoja wa kuingia uwanjani.
 
Ujinga huu umeandika kujifanya unajuwa Sanaa Kila kitu kumbe hkn ujuacho
 
Msio na Akili mtakiamini hiki alichokisema hapa Kocha Mkuu Pablo Franco Martin, ila kwa Werevu tunajua kuwa kwa Kuleta Utulivu Kkosini, Kuficha Fukuto lililopo na Kufunika Kombe Mwanaharamu apite amelazimishwa na Uongozi kutoa aina hii ya Ufafanuzi ili Kuwalinda akina Matola na Rweymamu ambao ni Virusi ndani ya Kikosi na ndiyo wanaotumika mno na Manara na GSM katika Kuisaliti Simba SC kwa kutoa Siri za Kiufundi na Kamati ya Ufundi ( Uchawi ) kwa Yanga SC ambapo hupewa Pesa nyingi inayopitia kwa Mratibu Mkuu wa Mpango huu Said Tully.

Cc: Dabil
 
Na kwa msiojua Washamba na Wapuuzi kama Dabil huyu Patrick Rweymamu ni Rafiki mkubwa wa Mnafiki Maulid Kitenge ( Mtangazaji wa EFM na TvE ) kisha Haji Manara na ndiyo huvujisha Kwao Siri nyingi ( za ndani ) za Simba SC Kwake.

Aondolewe upesi Klabuni kwani ni Kirusi na kuendelea kuwa nae Meneja huyu wa Simba SC Rweymamu ni Kujitafutia 'Balaa' zaidi huko mbele ya Safari na msije Kulalamika kuwa sikuwashtueni na Kuwaonyeni pia hapa JamiiForums.
 
Unateseka na Mimi ukitokea wapi 'Tula Tula' Mmoja Wewe?
 
Huo ndio ukweli na hii ilikuwa imepangwa njama wala haikuwa bahati mbaya!! Ufahamu wa Pablo ndio uliotuokoa, aatu wanalazimisha kitu ambacho hata kocha amekipinga, amesema tatizo si la matola!!
 
Wewe mchambuzi chupli chupli /mchambuzi wa mchongo unafanya kazi kwa majungu na manufaa yako binafsi.Kinyonga mkubwa wewe leo unasema hivi kesho unasema vile huna msimamo.Hovyo kabisa njaa inakusumbua
 
Ni jambo la fedhea sana mod kutuachia kirusi kama hichi cha mtoa mada humu Jf,mtu anaandika pumba juu ya pumba!popoma ndengelesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…