Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

Mbele kwa Mbele na huwa sijali ya nyuma. Kwani nikiandkka kwa utofauti kulingana na Wakati na Mtizamo wangu kwa Hoja na Matukio Muhimu ni Kosa la Jinai au Tatizo?

Pumbavu.
Hii inadhihirisha uPOPOMA wako
 
Yaani Umeongea Point Mnoo Mwamba
Kama Kweli Coach Msaidizi Anambishia Coach mkuu Na Coach Mkuu amempa Sababu ya Kutotaka Kumuingiza Wawa Kuwa Waache Vijana kwanza,Hii ni Technical Skills na Managerail skills za Coach,Huyu Matola Hana Ujuzi wa Kiutawala ktk Soka zaidi ya Urafiki Unapokuwa Head coach hata Tumu inaongoza Kwa Mabao unatakiwa Kuingiza Vijana wa Kuendelea Kulinda zaidi Na Ndio Maana Huu Ni uginjwa wa Timu ya Taifa na Timu zetu nyingi Huwa Tukishinda hatuwezi Kuingiza Mpaka Mwisho Tunakuja Kufungwa So Many times!
Mpira ni Sayansi!
Either Matola Anatakiwa Afokewe Kama Mtoto mdogo ili akome tabia Hiyo!
Ana Skills za auchezaji tuu Watu wana Skills Uwanjani hadi Saikolojia ya wachezaji yeye Kakazania Majungu,Labda iwe Uongozi wa Simba Kauweka Mfukoni!
Unajua Sshemu Yeyote ili Ufanye Vema Lazima uwe na Nguvu,Uchague Watuvwa Kufanya nao kazi,Coordination Watu unaowaamini!
Ndio Maana Hata Uongozi wa Nchi unapokuwa Rais unachagua Watu unaowaamini utafanya Nao Kazi Hii ndio management,Ipo Mahali Popote pale.Sasa Kama Matola Atakuwa na Nguvu kwa wachezaji kuliko Head Coach ni Hatari Mnooo!
 
Wameshapokea Ujumbe wangu na Ndoa ya Kocha Msaidizi Matola na Simba SC haina muda mrefu tena na ni Suala la muda tu Mkuu. Tunza hii post yangu tafadhali.
 
Ni jambo la fedhea sana mod kutuachia kirusi kama hichi cha mtoa mada humu Jf,mtu anaandika pumba juu ya pumba!popoma ndengelesi
Umuhimu wa JamiiForums Member GENTAMYCINE ambaye ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer si tu kwamba Moderators ( Mods ) wanaujua bali hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake Wakuu Jibrili na Mikaela nao wanaujua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa itakuwa ulijambwa wewe sio bure
 
Unajivunia matusi wewe mbwa kila Mara unagongwa ban lkn hubadiriki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbwa ni Yule aliyekuzaa na kutuletea Kero na Matatizo Tanzania kwa kuwa na Tula Tula ( Mpumbavu ) kama Wewe.

Unasema kuwa kila Siku napigwa BAN sibadiliki ( japo umekosea Kuandika na kwa Utaahira wako umeandika sibadiriki ) je, Wewe umeshabadilika kuacha Kunichukia 24/7 hapa JamiiForums?

BAN ipo Kisheria naiheshimu na labda unionyeshe kwa Kupenda na Kufurahia Kwako BAN zangu hapa JamiiForums zimesaidia nini katika labda Kukuongezea Kipato chako na Kuupunguza Ujuha ( Uzuzu ) unaokusumbua.
 
Huu uzi umechemsha mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ufute tuu kliinda heshma su kama vp omba radhi kupitiwa siku moja moja sio mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu uzi umechemsha mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ufute tuu kliinda heshma su kama vp omba radhi kupitiwa siku moja moja sio mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anza Kwanza Wewe kwa kutuomba Radhi JF Members kwa tatizo lako Kubwa la Uwendawazimu ( Utahaira ) unaokusumbua kwa miaka mingi sana.
 
Anza Kwanza Wewe kwa kutuomba Radhi JF Members kwa tatizo lako Kubwa la Uwendawazimu ( Utahaira ) unaokusumbua kwa miaka mingi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo umefeli bhana na umeloose credibility sana kwenye hili, kumbe hujui kutafsiri sheria zote za mpira zaidi unajikita kwenye majungu na ushirikina tu, shwain. OMBA RADHI UMETELEZA
 
Hii ng'ombe iliyokimbia vita Burundi haijui kitu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ng'ombe iliyokimbia vita Burundi haijui kitu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]
 
[emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]
Yaani anaona ndy fashion eti dume zima kujivunia matusi hii takataka itakuwa na unasaba na Juma Lokole hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo umefeli bhana na umeloose credibility sana kwenye hili, kumbe hujui kutafsiri sheria zote za mpira zaidi unajikita kwenye majungu na ushirikina tu, shwain. OMBA RADHI UMETELEZA
Mpumbavu ( Tula Tula ) na Mwendawazimu ( Kipa Katoka ) kama Wewe huwa anaombwa Radhi?
 
[emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]
Anayejua Vita huwa hajitangazi bali hupambana kimya kimya ili ashinde. Nenda BAKITA wakakufundishe nini maana ya Kutukana au Tusi ni nini sawa?
 
Yaani anaona ndy fashion eti dume zima kujivunia matusi hii takataka itakuwa na unasaba na Juma Lokole hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naona umeamua kutoa Siri yako ya Kambi kuwa Wewe ni Mwanaume 'Mwendo' hivyo naamini kuanzia sasa utawapata Wadau ( Wateja ) wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…