Hii inadhihirisha uPOPOMA wakoMbele kwa Mbele na huwa sijali ya nyuma. Kwani nikiandkka kwa utofauti kulingana na Wakati na Mtizamo wangu kwa Hoja na Matukio Muhimu ni Kosa la Jinai au Tatizo?
Pumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inadhihirisha uPOPOMA wakoMbele kwa Mbele na huwa sijali ya nyuma. Kwani nikiandkka kwa utofauti kulingana na Wakati na Mtizamo wangu kwa Hoja na Matukio Muhimu ni Kosa la Jinai au Tatizo?
Pumbavu.
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala hatujashangaa kwa Kilichotokea na Kinachojificha.
Hivi Meneja wa Timu utamuingizaje Beki kabla ya Kocha Mkuu kukupa Amri tena ukiona Timu tayari imeshatangulia kwa Goli 4 kwa 1?
Hivi Kocha Msaidizi Matola unatoa wapi Maamuzi ya Kulazimisha lazima Beki Pascal Wawa acheze tena baada ya mara Mbili nzima kwenda katika 'touchline' kwa Kocha Mkuu Pablo Kumshauri aingie na akakukatalia na Kusisitiza kuwa kwakuwa Timu iko mbele na dakika zimebaki chache hivyo waingie Wachezaji Vijana na ambao hata hawajawahi Kucheza Mechi za Ligi tokea wasajiliwe Simba SC?
Udhaifu mkubwa wa Kocha Matola na Swahiba wake Mkuu Meneja Rweymamu ni ule ule ambao pia utaukuta kwa Makocha wengine Wazawa kama Mkwasa, Kihwelo na Minziro ambapo Kwanza hupenda 10% kutoka kwa Wachezaji wanaowapanga, hupenda Kugawa Wachezaji, Wachonganishi wa Makocha Wakuu na Viongozi wa Vilabu au Mashabiki, wapenda Majungu, wana Wivu na Chuki, Washirikina wa Kipuuzi na hupenda Kula Bata na Wachezaji vipenzi wao.
Hakuna asiyejua kuwa Kocha Msaidizi Matola ni Mshkaji ( Rafiki ) mkubwa na Beki Pascal Sergi Wawa na muda mwingi huwa Wanalewa nae pamoja Juliana au Beach Kidimbwi Mbezi Beach na kisha Kununua 'Migoma' ya kwenda Kuibandua na mara nyingine pia utawakuta Yombo au Temeke wakienda Kununua Sigara Bwege ambapo Matola alipokuwa Mchezaji aliitumia sana ila kwa sasa Pascal Wawa amemrithi Kimatumizi.
Vile vile hakuna Mtu wa Simba SC asiyemjua Meneja Rweymamu kuwa ni Mtu mpenda Makuu, anapenda Mamlaka ya zaidi ya Kocha Mkuu, ana Dharau zilizovuka Kiwango halafu ni Bingwa wa Kuwashawishi Wachezaji Waharibu ( Wachomeshe ) ili Kocha Mkuu Mgeni afukuzwe.
Kuna Siku hapa hapa JamiiForums baada ya Msaliti Mkuu namba Moja Haji Manara kuhamia Yanga SC GENTAMYCINE nilisema kuwa bado kuna Virusi ( Wasaliti ) Wawili na ipo Siku isiyo na Jina nitakuja Kuwataja hadharani nikidhani kuwa Wahusika wangejirekebisha.
Kama kuna Wasaliti Hatari ndani ya Simba SC yetu na wameshatuponza na Kutufitini kwa Mechi za Ligi Kuu ( hasa ya mwaka tulipocheza na Yanga SC ) na hata zile za Kimataifa CAF CL kwa kutoa Siri zetu za Kambi na Maandalizi kwa Maadui zetu basi ni Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu na hili wala halina Ubishi kwani Watu wa Simba SC tunalijua na hata Marehemu Zackaria Hanspoppe alilikemea na Kukwazika hili sana tu.
Uongozi wa Simba SC kwa hiki kilichotokea leo baina ya Kocha Mkuu Pablo na Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu naomba muwaondoe ( muwafukuze ) haraka kwani kwa ninavyowajua na kwa alichokifanya Kocha Pablo ni lazima Watamhujumu kwa Kuwashawishi Wachezaji wacheze chini ya Kiwango na Wachomeshe Timu ifungwe ili afukuzwe na Wao waendelee tu Kuula Klabuni.
Kocha pekee wa kubakia hapo Simba SC ni huyo Thiery Hitimana ( Raia wa Burundi ) na Wengine walioko katika Benchi la Ufundi ila siyo akina Matola ( Kocha Msaidizi ) na Rweymamu ( Meneja ) halafu kwakuwa Simba SC tunajivunia kuwa Timu yetu ni ya Kimataifa na inaendeshwa 'Professionally' basi hebu ruhusuni Kocha Mkuu Pablo achague wa Kubaki ( Kufanya ) nae Kazi na ikiwezekana basi Yeye Mwenyewe alete Wasaidizi wake kutoka ama Kwao Hispania au huko Uarabuni alikokuwa akifundisha.
Namuunga mkono 100% Kocha Pablo!!!!
Ambao upo katika Koo zako zote Mbili.Hii inadhihirisha uPOPOMA wako
Wameshapokea Ujumbe wangu na Ndoa ya Kocha Msaidizi Matola na Simba SC haina muda mrefu tena na ni Suala la muda tu Mkuu. Tunza hii post yangu tafadhali.Yaani Umeongea Point Mnoo Mwamba
Kama Kweli Coach Msaidizi Anambishia Coach mkuu Na Coach Mkuu amempa Sababu ya Kutotaka Kumuingiza Wawa Kuwa Waache Vijana kwanza,Hii ni Technical Skills na Managerail skills za Coach,Huyu Matola Hana Ujuzi wa Kiutawala ktk Soka zaidi ya Urafiki Unapokuwa Head coach hata Tumu inaongoza Kwa Mabao unatakiwa Kuingiza Vijana wa Kuendelea Kulinda zaidi Na Ndio Maana Huu Ni uginjwa wa Timu ya Taifa na Timu zetu nyingi Huwa Tukishinda hatuwezi Kuingiza Mpaka Mwisho Tunakuja Kufungwa So Many times!
Mpira ni Sayansi!
Either Matola Anatakiwa Afokewe Kama Mtoto mdogo ili akome tabia Hiyo!
Ana Skills za auchezaji tuu Watu wana Skills Uwanjani hadi Saikolojia ya wachezaji yeye Kakazania Majungu,Labda iwe Uongozi wa Simba Kauweka Mfukoni!
Unajua Sshemu Yeyote ili Ufanye Vema Lazima uwe na Nguvu,Uchague Watuvwa Kufanya nao kazi,Coordination Watu unaowaamini!
Ndio Maana Hata Uongozi wa Nchi unapokuwa Rais unachagua Watu unaowaamini utafanya Nao Kazi Hii ndio management,Ipo Mahali Popote pale.Sasa Kama Matola Atakuwa na Nguvu kwa wachezaji kuliko Head Coach ni Hatari Mnooo!
Umuhimu wa JamiiForums Member GENTAMYCINE ambaye ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer si tu kwamba Moderators ( Mods ) wanaujua bali hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake Wakuu Jibrili na Mikaela nao wanaujua.Ni jambo la fedhea sana mod kutuachia kirusi kama hichi cha mtoa mada humu Jf,mtu anaandika pumba juu ya pumba!popoma ndengelesi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa itakuwa ulijambwa wewe sio bureUmuhimu wa JamiiForums Member GENTAMYCINE ambaye ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer si tu kwamba Moderators ( Mods ) wanaujua bali hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake Wakuu Jibrili na Mikaela nao wanaujua.
Kama aliyekuzaa pia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa itakuwa ulijambwa wewe sio bure
Unajivunia matusi wewe mbwa kila Mara unagongwa ban lkn hubadiriki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama aliyekuzaa pia.
Mbwa ni Yule aliyekuzaa na kutuletea Kero na Matatizo Tanzania kwa kuwa na Tula Tula ( Mpumbavu ) kama Wewe.Unajivunia matusi wewe mbwa kila Mara unagongwa ban lkn hubadiriki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anza Kwanza Wewe kwa kutuomba Radhi JF Members kwa tatizo lako Kubwa la Uwendawazimu ( Utahaira ) unaokusumbua kwa miaka mingi sana.Huu uzi umechemsha mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ufute tuu kliinda heshma su kama vp omba radhi kupitiwa siku moja moja sio mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo umefeli bhana na umeloose credibility sana kwenye hili, kumbe hujui kutafsiri sheria zote za mpira zaidi unajikita kwenye majungu na ushirikina tu, shwain. OMBA RADHI UMETELEZAAnza Kwanza Wewe kwa kutuomba Radhi JF Members kwa tatizo lako Kubwa la Uwendawazimu ( Utahaira ) unaokusumbua kwa miaka mingi sana.
Hii ng'ombe iliyokimbia vita Burundi haijui kitu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo umefeli bhana na umeloose credibility sana kwenye hili, kumbe hujui kutafsiri sheria zote za mpira zaidi unajikita kwenye majungu na ushirikina tu, shwain. OMBA RADHI UMETELEZA
[emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]Hii ng'ombe iliyokimbia vita Burundi haijui kitu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani anaona ndy fashion eti dume zima kujivunia matusi hii takataka itakuwa na unasaba na Juma Lokole hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]
Mpumbavu ( Tula Tula ) na Mwendawazimu ( Kipa Katoka ) kama Wewe huwa anaombwa Radhi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo umefeli bhana na umeloose credibility sana kwenye hili, kumbe hujui kutafsiri sheria zote za mpira zaidi unajikita kwenye majungu na ushirikina tu, shwain. OMBA RADHI UMETELEZA
Ila Wewe Mbuzi wa Kiswahili ndiyo unajua lolote?Hii ng'ombe iliyokimbia vita Burundi haijui kitu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anayejua Vita huwa hajitangazi bali hupambana kimya kimya ili ashinde. Nenda BAKITA wakakufundishe nini maana ya Kutukana au Tusi ni nini sawa?[emoji28] kabisa yani halafu inafikiri kutukana ndio kuwatisha watu. Sisi wengine matusi ni kama msosi maana tumeanza tukanwa tangu tumboni mwa mama zetu maneke [emoji1787]
Naona umeamua kutoa Siri yako ya Kambi kuwa Wewe ni Mwanaume 'Mwendo' hivyo naamini kuanzia sasa utawapata Wadau ( Wateja ) wengi tu.Yaani anaona ndy fashion eti dume zima kujivunia matusi hii takataka itakuwa na unasaba na Juma Lokole hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]