Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.

Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
 
Kama lile liAboubakari sijui Bakari zito kinoma kama limeweke kipande cha bolo matakoni.Wajiuzulu wote naunga mkono.
20240326_225615.jpg
 
Hawa viongozi naona hawapo kwa ajili ya mpira, wapo kwa ajili ya upigaji tu, eti unataka mafanikio halafu unaacha mastraika wenye uwezo unatuletea watu wa majaribio. Yaani nafas tulipoteza jana Baleke angeua watu. Yaani hawa watu wao waliowaleta ukiwaonganisha waote hawafikii uwezo wa Boko pamoja na uzee wake.
 
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.

Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
SIMBA HAKUNA UONGOZI NI WAHUNI WATUPU
 
Hawa viongozi naona hawapo kwa ajili ya mpira, wapo kwa ajili ya upigaji tu, eti unataka mafanikio halafu unaacha mastraika wenye uwezo inatuletea watu wa majaribio. Yaani nafas tulipoteza jana Baleke angeua watu. Yaani hawa watu wao waliowaleta ukiwaonganisha waote hawafikii uwezo wa Boko pamoja na uzee wake.
Hao magarasa walioletwa hata wanaocheza ndondo kule.tandale wanawazidi uwezo
 
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.

Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Ofisi zao ziko Masaki ingawa wanaitwa wana Msimbazi hawana ofisi Msimbazi tena. Hapa JF hakuna ofisi ya Simba; peleka malalamiko hayo huko kunakohusika.
 
🤣🤣🤣
Kuna mambo mengine inabidi kucheka tu Sasa walipomfunga Janweng mbona hamkubweka hebu jifunzeni kuangalia mambo kwa utaratibu mzuri basi
Aahaaaa

Kila siku wanataka washinde wao
 
Huyo boya anaemdiss sarr ni hajui mpira
Mpumbavu sanaa huyo dogo, Babacar Sarr anapiga maPass Accurate kuliko hata Ngoma au ndo ile akili ya kijinga mchezaji mzuri bongo mpaka afunge goli
 
Back
Top Bottom