Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

Kweli wajiuzulu maana ndo timu pekee iliyokandwa wiki kwenye kilabu bigwa robo fainali.
 
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.

Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Nadhani kwa upande wa Simba, wanaotakiwa kuwajibishwa wa kwanza ni mashabiki, maana nyie ndio hamueleweki kabisa.

Kwanza hamna command kwa uongozi wenu, pili mna behave kama watoto ambao wanadanganyika kirahisi sana.

Tukirudi kwenye issue ya baleke na phiri, nadhani labda mlalamike why replacement zao ni average players. Lakini kuhusu why waliuza baleke na phiri at once ilo hamtakiwi kulalamika, maana kipindi wanaondoshwa, majority mlilidhia.
 
Unawatoa wachezaji unao wajua na una waleta usio wajua viwango vyao halafu mwaka jana wamemuajili skauti........
 
Back
Top Bottom