Kama lile liAboubakari sijui Bakari zito kinoma kama limeweke kipande cha bolo matakoni.Wajiuzulu wote naunga mkono.
AloohKama lile liAboubakari sijui Bakari zito kinoma kama limeweke kipande cha bolo matakoni.Wajiuzulu wote naunga mkono.
SIMBA HAKUNA UONGOZI NI WAHUNI WATUPUKufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.
Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Hao magarasa walioletwa hata wanaocheza ndondo kule.tandale wanawazidi uwezoHawa viongozi naona hawapo kwa ajili ya mpira, wapo kwa ajili ya upigaji tu, eti unataka mafanikio halafu unaacha mastraika wenye uwezo inatuletea watu wa majaribio. Yaani nafas tulipoteza jana Baleke angeua watu. Yaani hawa watu wao waliowaleta ukiwaonganisha waote hawafikii uwezo wa Boko pamoja na uzee wake.
Tena mjinga wa kiwango cha juu ajabuHuyo boya anaemdiss sarr ni hajui mpira
Mzize damu changa cheki anavyotupiaTimu yenye washambuliaji wazee.. Misuli imegoma
Ofisi zao ziko Masaki ingawa wanaitwa wana Msimbazi hawana ofisi Msimbazi tena. Hapa JF hakuna ofisi ya Simba; peleka malalamiko hayo huko kunakohusika.Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.
Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Aahaaaa🤣🤣🤣
Kuna mambo mengine inabidi kucheka tu Sasa walipomfunga Janweng mbona hamkubweka hebu jifunzeni kuangalia mambo kwa utaratibu mzuri basi
Mpumbavu sanaa huyo dogo, Babacar Sarr anapiga maPass Accurate kuliko hata Ngoma au ndo ile akili ya kijinga mchezaji mzuri bongo mpaka afunge goliHuyo boya anaemdiss sarr ni hajui mpira