Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

Kweli wajiuzulu maana ndo timu pekee iliyokandwa wiki kwenye kilabu bigwa robo fainali.
 
Nadhani kwa upande wa Simba, wanaotakiwa kuwajibishwa wa kwanza ni mashabiki, maana nyie ndio hamueleweki kabisa.

Kwanza hamna command kwa uongozi wenu, pili mna behave kama watoto ambao wanadanganyika kirahisi sana.

Tukirudi kwenye issue ya baleke na phiri, nadhani labda mlalamike why replacement zao ni average players. Lakini kuhusu why waliuza baleke na phiri at once ilo hamtakiwi kulalamika, maana kipindi wanaondoshwa, majority mlilidhia.
 
Unawatoa wachezaji unao wajua na una waleta usio wajua viwango vyao halafu mwaka jana wamemuajili skauti........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…