Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

Za ndaaaani huko........
Inasemekana gsmu ajawapa bahasha leo dodoma jiji hivo bench la ufundi na wachezaji wamekosa motisha na wameshindwa kuikamia Simba kama ilivyokua kwa michezo ya awali.

Kwa hiyo lawama zote ziende kwa nyuma mwiko kwa kutotoa motisha na bahasha na dau nono kwa dodoma jiji ili waikamie simba.
 
Kocha wa dodoma jiji uwezo wake mdogo sana hafai kuendelea kuwa dodoma jiji atimuliwe haraka na benchi lake lote kenge mkubwa
 
kufanya maandalizi linafanya utani (kiuleta utani kwenye Uwanja Wa kivita) hii siyo nzuri kabisa na inaleta picha mbaya kwa makocha wazawa na kuonekana hawapo serious kabisa na ndiyo Maana hawaaminiki kabisa katika ligi yetu hii (NBCPL)
Tafuta ya kazi ufanye ili usiwe na siriasi watu wakitaniana/timu zikitaniana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 SIMBA NA YANGA😎Tumezipenda wenyewe😃mpaka zituue😄🏃😄🏃😄🏃😭
 
Za ndaaaani huko........
Inasemekana gsmu ajawapa bahasha leo dodoma jiji hivo bench la ufundi na wachezaji wamekosa motisha na wameshindwa kuikamia Simba kama ilivyokua kwa michezo ya awali.

Kwa hiyo lawama zote ziende kwa nyuma mwiko kwa kutotoa motisha na bahasha na dau nono kwa dodoma jiji ili waikamie simba.
Huo ndiyo ukweli.
 
Japo sijauona mpira wa Simba vs Dodoma
Ila mara kadhaa huwa nawatoleaga mfano Dodoma jiji kama watu wanaochezaga mpira wa hovyo mno! Kuna mechi walicheza kabla ile ya Namungo aisee 😆😆 hata mpira wa wanawake una mvuto mpaka nikajiuliza kwanini hawaburuzi mkia yani Dodoma jiji hawafiki kwenye 18 Wanapoteza pasi hovyo hovyo afu wana mpira kama wa Kakamega Fc butua butua sijui walibadilika wajameni
 
Back
Top Bottom