Hatufai mecky afurushwe haraka sana hayuko seriouslyVp kama uongozi mkuu ulikubaliana nayo?
Umeelewa nilichoandika?Hatufai mecky afurushwe haraka sana hayuko seriously
Tafuta ya kazi ufanye ili usiwe na siriasi watu wakitaniana/timu zikitaniana.kufanya maandalizi linafanya utani (kiuleta utani kwenye Uwanja Wa kivita) hii siyo nzuri kabisa na inaleta picha mbaya kwa makocha wazawa na kuonekana hawapo serious kabisa na ndiyo Maana hawaaminiki kabisa katika ligi yetu hii (NBCPL)
Huo ndiyo ukweli.Za ndaaaani huko........
Inasemekana gsmu ajawapa bahasha leo dodoma jiji hivo bench la ufundi na wachezaji wamekosa motisha na wameshindwa kuikamia Simba kama ilivyokua kwa michezo ya awali.
Kwa hiyo lawama zote ziende kwa nyuma mwiko kwa kutotoa motisha na bahasha na dau nono kwa dodoma jiji ili waikamie simba.