DOKEZO Uongozi wa UDOM unazuia matokeo ya mitihani kwa Wanafunzi ambao tumecheleweshewa malipo ya ada kutoka Bodi ya Mikopo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ndio shida vijana wengi awasemi ukweli wakijua sisi kaka zao atujapitia hayo wanayotupiga chenga yaaani hapo piga hua kwenye hii issues huyu alikimbia kusaini ada udom uwa sio wahuni kiasi hicho Hila ukizingua wanakuzingua wanasisitizaga sana kusaini ada wakiwa na maana lakini vijana wa Sasa wa hovyo kabisa wanaona wanapoteza mda wakipanga foleni ya kusaini ada matokeo yake ndo haya vilio vingi kipindi hiki
 
Juzi nilikua naongea na mwanachuo mmoja aseee Loan board sikuhizi mambo mengi sana yamebadilika!
 
Anasemaje mkuu
Ilikua kwenye mambo ya pesa ambazo HELSB huitoa kwa beneficiaries wao nowdays kuna mabadiliko tofauti na enzi hizo ! Sikuhizi kuna pesa haitolewi na wengine zikitolewa mara wanapewa wachawe hekaheka tupu!
Alikua BAED UDOM
 
Ukweli
 
Ilikua kwenye mambo ya pesa ambazo HELSB huitoa kwa beneficiaries wao nowdays kuna mabadiliko tofauti na enzi hizo ! Sikuhizi kuna pesa haitolewi na wengine zikitolewa mara wanapewa wachawe hekaheka tupu!
Alikua BAED UDOM
Mambo yanabadilika kila siku kadiri wanufaika wanavyozidi kuwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…