π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nmecheka, umenikumbusha hadi mechi za gazeti la sani bush stars na wenzao wa town, uadui kama wote.Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea , body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
We miss that era aiseeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nmecheka, umenikumbusha hadi mechi za gazeti la sani bush stars na wenzao wa town, uadui kama wote.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nmecheka, umenikumbusha hadi mechi za gazeti la sani bush stars na wenzao wa town, uadui kama wote.
Am 20 tu nilisimuliwa πΉKumbe na wewe mkongwe aiseeππ
Aisee mbona unatudhalilisha sisi mashabiki wa yanga?Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea , body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
aziz ki hata akiondoka hakuna madhara makubwa yanga. ila pacome, na yule dogo wa ghana wakiondoka, ni shida.Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea , body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
Kolo lenzanko hiloKwa maandishi haya kweli huko nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu
Vipi simba nao wafuatilie maongezi ya percy tau na konde boy?
Umejikaza sana mwisho wa siku umerudi kwenye mfumo[emoji23][emoji23]
πππ Mzee Sunday Manara na JK basi
Wawili tuKolo lenzanko hilo
scudu ni mwanafunzi wake,ama kuhusu aziz kamuomba awe anapiga kwa mguu wa kuliaNakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea , body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi