Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

Hata mimi niliwaona hii ni hatari sana.
 
Kwa maandishi haya kweli huko nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu

Vipi Simba nao wafuatilie maongezi ya percy tau na Konde boy?
Konde boy sio mchezaji muhimu
 
Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.

Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
Kwa akili hizi sijui tunaenda wapi! Yaani uzuie hata watu kuongea? Huu ni upumbavu! Scudu ameanzia soka kwenye academy ya Mamelodi unataka kumzuia asiongee na ndugu zake? Aziz Ki ni mchezaji mkubwa unataka kumzuia asiongee na makocha? Hii mbona hata Ulaya ipo sana!
 
Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.

Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
Wewe ndie ulisema una miaka 60 ?
 
acha wivu wa kike kila mtu anatafta maisha
 
Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz kii akaonyesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.

Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi
Kwani kuna shida gani wewe dunduka? waache waongee tu simba ingekuwa na wachezaji wazuri kocha wa al ahly nae angefanya kama mwenzake wa mamelodi.
 
K

Kumbe bado unakumbuka baba anavyokuitaga!
Uwe unamfanyia yeye tu hivyo ila ukae ukijua baba asipokuwepo ukazidisha mazoea ninakupelekea moto tu bila kujali kuwa wewe ni mke wa baba.
Noted
1711088550536.jpg
 
Inaposemwa ligi zinatofautiana ukubwa, Inajumlisha hata mindset za wapenzi wake wa Mpira.
 
TP Mazembe alimfunga Mamelody kwao. Sis tumetoa Suluhu lakin tunaongea sana.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom