Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

Hata mimi niliwaona hii ni hatari sana.
 
Kwa maandishi haya kweli huko nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu

Vipi Simba nao wafuatilie maongezi ya percy tau na Konde boy?
Konde boy sio mchezaji muhimu
 
Kwa akili hizi sijui tunaenda wapi! Yaani uzuie hata watu kuongea? Huu ni upumbavu! Scudu ameanzia soka kwenye academy ya Mamelodi unataka kumzuia asiongee na ndugu zake? Aziz Ki ni mchezaji mkubwa unataka kumzuia asiongee na makocha? Hii mbona hata Ulaya ipo sana!
 
Wewe ndie ulisema una miaka 60 ?
 
acha wivu wa kike kila mtu anatafta maisha
 
Kwani kuna shida gani wewe dunduka? waache waongee tu simba ingekuwa na wachezaji wazuri kocha wa al ahly nae angefanya kama mwenzake wa mamelodi.
 
Inaposemwa ligi zinatofautiana ukubwa, Inajumlisha hata mindset za wapenzi wake wa Mpira.
 
TP Mazembe alimfunga Mamelody kwao. Sis tumetoa Suluhu lakin tunaongea sana.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…