Uongozi wa Yanga, mnapotaka twende ndiyo tunapataka

Mtalinywa ninyi mnaodai point 3 kwenye mechi iliyopigwa kalenda.Mmeingia hasara ya maandalizi na hasara mtapata zaidi πŸ˜‚
Unaumia na Yanga ukiwa wapi? Tuje kukupoza machungu. Hii ndiyo Yanga kama maji. Msipoyaoga mtayanywa tu. Sisi ndiyo wana wa Jangwani πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Tushamaliza tukutane mechi ijayo.
Screenshot_20250310_104547_Instagram.jpg

Nyie endeleeni na msimamo wa kugomea mechi zote zilizo bakia.
 
Yaani mnakimbia mechi kwa sababu ya kuogopa kufungwa, halafu bado mnapata ujasiri wa kuendelea kutuletea mashudu yenu humu jukwaani.
Tate mkuu YAANI KUMBE YANGA MNAOGOPA MBUZI KIASI HICHO.Mnataka kuchoma basi sababu ya mbuzi kweli
 
Unaumia na Yanga ukiwa wapi? Tuje kukupoza machungu. Hii ndiyo Yanga kama maji. Msipoyaoga mtayanywa tu. Sisi ndiyo wana wa Jangwani πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
Siimba yupo shirikisho hukoo.
 
Mtalinywa ninyi mnaodai point 3 kwenye mechi iliyopigwa kalenda.Mmeingia hasara ya maandalizi na hasara mtapata zaidi πŸ˜‚
Hili sasa ndilo lililokua lengo la simba kuwaingiza hasara wenzao. Naanza kupata picha. Haikua bahati mbaya ile sinema pale
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk. Yaani mchezaji anafunga goli la mkono halafu anaenda kuwa Man of the Match, we umesikia waaapi?
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
haya mambo msifike huko please. yaishe mpira uchezeke . mnataka yapeleka mbali sana msitake kuharibu image ya yanga nje ya nchi. haya mambo yawe yana baki humu humu ndani sababu hata ligi yetu itaonekana ni dhaifu
 
Mlishauriwa msajili wachezaji wa maana mkawa mnafanya mchezo mkitegemea mbeleko ya Tff, ona sasa mnavyo dhalilika.
Simba ina aibika, Tff ina aibika, mbinu zilizobaki ni kukimbia mechi.

Poleni sana, Mpira ni uwekezaji mtaendelea kutandikwa uwanjani mpaka mtakapo jifunza.
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk. Yaani mchezaji anafunga goli la mkono halafu anaenda kuwa Man of the Match, we umesikia waaapi?
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Screenshot_20250308_065040_Gallery.jpg
 
Usitutishe we KOLO WA MAKOLO
 
wacha nyenyenye wewe andazi...point 3 na goli 3 za mezani ni lazma kwa yanga
 
GSM alikupa mimba akaikataa
Mbona una chuki na mfanyabiashara anayetangaza bidhaa zake
Aliondoa udhamini wewe una bidhaa ya kwenda kutangaza na kudhamini hizo timu
Yaani GSM asidhamini timu kisa wewe masikini unaandika mashudu na ki infinix chako
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk. Yaani mchezaji anafunga goli la mkono halafu anaenda kuwa Man of the Match, we umesikia waaapi?
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Kenge maji wewe. Unaweweseka nini?
 
Mbona mnachelewa? Wewe uitishe Yanga????? Kafufueni hata ya mwaka 1950. Hatujali na hatutishiki. Mfanye uhuni kwenye soka, halafu mnataka tuwafate kama kondoo, mlioenda nao usiku Taifa thubutu. Mmelikoroga lazima mlinywe.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kumbe walienda mpaka na kondoo.! mimi nilifikiri walibeba njiwa na mzoga wa kichwa cha mbuzi tu
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk. Yaani mchezaji anafunga goli la mkono halafu anaenda kuwa Man of the Match, we umesikia waaapi?
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Wacha nikusaide vielelezo mkuu
 
Attachments

  • 20241229_070802.jpg
    20241229_070802.jpg
    100 KB · Views: 1
  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom