Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
4,159
Reaction score
2,844
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
 
Watu hamtaki ushirikiano kabisa....
images (9).jpeg
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Acheni ujinga mechanical faults ni kitu cha kawaida hauja wahi kuharibikiwa gari wewe? watanzania mna ujuaji wa kijinga mechi ipo Friday upuliziwe sumu Tuesday? punguzeni ujuaji hebu niambie kile kitendo cha kukwama pale dakika 30 kinauhusiano gani na matokeo ya uwanjani?
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Bila picha au video ni alkasusu iliyofubaa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Imenifikirisha sana kutoka Jose hadi Pretoria nadhani haizidi saa Moja tena inaweza kuwa chini ya hapo wangekodi
Wasiwaamini sana wala wasiwe wastaraabu wachukue tahadhari
Pia wachezaji walipaswa kupunga mikono na ku show love kwa wale jamaa waliowapokea pale airport badala yake vimeweka ustar tena
Hadi kibwana.
 
Timu imepokelewa na Watanzania wakiongozwa na balozi punguzeni ujuwaji.
 
Attachments

  • IMG-20240402-WA0120.jpg
    IMG-20240402-WA0120.jpg
    195 KB · Views: 1
  • IMG-20240402-WA0119.jpg
    IMG-20240402-WA0119.jpg
    245 KB · Views: 1
  • IMG-20240402-WA0115.jpg
    IMG-20240402-WA0115.jpg
    155.1 KB · Views: 1
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Baki nyumbani
 
wewe wala kanuni za caf huzijui ukae kimya
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Ni kanuni bro, tena za caf na sio yanga... Mwenyeji anamuandalia mgeni usafiri
 
Back
Top Bottom