Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

Acheni ujinga mechanical faults ni kitu cha kawaida hauja wahi kuharibikiwa gari wewe? watanzania mna ujuaji wa kijinga mechi ipo Friday upuliziwe sumu Tuesday? punguzeni ujuaji hebu niambie kile kitendo cha kukwama pale dakika 30 kinauhusiano gani na matokeo ya uwanjani?
Wqnaujuaji mwingi ka wasambaa.
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Kwani Mamelody wana majini?
 
Viongoz klabu zetu wana ushamba sana kila siku n wa kujifunza tu
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Kwamba Mamelodi awawekee simu ninyi vyura hahahahahhaha
 
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.

KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.

NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Yani kwa vichwa ambavyo vipo yanga kiweledi wewe mshikaji wa hapo bombom kijiwe samli uwe na mashaka nao..
 
Back
Top Bottom