Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kwanza hiyo sumu inakaa siku ngapi?Timu imepokelewa na Watanzania wakiongozwa na balozi punguzeni ujuwaji.
Wqnaujuaji mwingi ka wasambaa.Acheni ujinga mechanical faults ni kitu cha kawaida hauja wahi kuharibikiwa gari wewe? watanzania mna ujuaji wa kijinga mechi ipo Friday upuliziwe sumu Tuesday? punguzeni ujuaji hebu niambie kile kitendo cha kukwama pale dakika 30 kinauhusiano gani na matokeo ya uwanjani?
Kwani Mamelody wana majini?Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.
KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.
NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Kwamba Mamelodi awawekee simu ninyi vyura hahahahahhahaKama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.
KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.
NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Yani kwa vichwa ambavyo vipo yanga kiweledi wewe mshikaji wa hapo bombom kijiwe samli uwe na mashaka nao..Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.
KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI.
NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI