Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Kwann hii habar imekua siku hiz 2, yanga wanawazubaisha Simba halaf kesho yawakute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili waliletwa Manzoki kwenye uchaguziTatizo linajulikana, Yanga iajiri MWANASHERIA MSOMI imagine anazidiwa akili na Mzee Magoma. Wala hakuna kupepesa Macho yule mwanasheria wao ni Kanjanja!
Hata hamtutoi mchezoni Mtani.Walipe pesa za watu halafu mambo ya kujitafakari yafuate.
Kwani mimi 🐸?Unaumia?
Dah Yanga inatia huruma.Aliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo kutoka FIFA Jana Oktoba 17, 2024.
Hii inakuja siku chache baada ya Mchezaji mwingine Augustine Okrah kushinda kesi kama hiyo dhidi ya Yanga.
Huyu wakili nina mashaka naeWakili Msomi Patrick Simon
Kuachana na mchezaji asiye na umuhimu kwenye timu na kisha kuleta mchezaji mzuri siyo tatizo .Tena kwa hilo nawapongeza Yanga . Tatizo ni kutowalipa hao wachezaji kwa wakati hadi wanafikia hatua ya kwenda FIFA hali inayoharibu taswira ya timuUkitaka kitu kizuri lazima uingie gharama, fikiria kama leo timu ingekua na strier Konkoni ingefika wapi?
Walipe pesa za watu halafu mambo ya kujitafakari yafuate
Kama hapo ulipo haudaiwi nyoosha mkonoKuachana na mchezaji asiye na umuhimu kwenye timu na kisha kuleta mchezaji mzuri siyo tatizo .Tena kwa hilo nawapongeza Yanga . Tatizo ni kutowalipa hao wachezaji kwa wakati hadi wanafikia hatua ya kwenda FIFA hali inayoharibu taswira ya timu
Huyo hana tofauti na wakili wa serikali hashindi hata siku moja!Wakili Msomi Patrick Simon