Uongozi wa Yanga ulimharibu Gamondi wenyewe, haribuni na huyu

Uongozi wa Yanga ulimharibu Gamondi wenyewe, haribuni na huyu

Nambie kijana
Leo weekend sibanduki jf
Nawapopoa wahafidhina wote
Time ninayo ya kutosha
Naona leo mmeamua kupasuana wenyewe kwa wenyewe uto kwa uto ngoja tuwaache mtoane kamasi.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kam
Kama viongozi wanatafutia wachezaji mademu,hiyo ni timu ama kundi la wapuuzi
Mchezaji kaja na demu kazini lakini viongozi wanashangilia na kukenua halafu wanakuwa wakwanza kusema mchezaji kwanini hafungi.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kuna aina kuu 4 za umbali kati ya mtu na mtu kwa sababu na kazi maalumu:
1. Intimate zone (0 distance) - kwa mwandani
2. Personal distance (4ft) - kwa watu wako wa karibu sana (sio mwandani) au matibabu.
3. Social distance ( 4-8 ft) umbali wa kazi/kiofisi
4. Public distance (the sky the limit) - for mass/public communication.

Kiongozi mkuu katika taasisi ajiepushe na intimate zone kwa waajiliwa (wachezaji, wafanyakazi na watu wa chini yake) la sivyo kazi zitazorota. Mfano, kiongozi mkuu wa taasisi asiende kumkumbatia mchezaji, kocha au mtumishi wake hata kama atakuwa amefurahi vipi au amelewa.
 
Walifanya hayo makosa lakini Yanga akawa bingwa
Yanga inacheza CAFCL lakini timu lako Linacheza mashindano ya akina mama aka shirikisho
Sasa imekuwaje tena anafukuzwa?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Sasa imekuwaje tena anafukuzwa?
Yanga Kuna utoto mwingi, kinachofanya Yanga ishinde ni uimara wa wachezaji (GSM) walionao.

Kuna watu pale wanahangaisha wachezaji na benchi la ufundi kwa kuwahoji, kupost, kucheka na kucheza nao Kila siku . Wachezaji na walimu wanapoteza concentration kwa hawa jamaa kuweko kwenye mazoezi yao Kila wakati na Kila siku. Hakuna kocha Yuko happy kuona programs zake za mazoezi (gym, pitch) ziko mitandaoni Kila siku kuonekana kwa adui zake. Vijana wetu ni watoto mno hata kama wanatafuta contents za kwenye social media zao lakini wanauza Siri za Kambi kwa adui.

Ni fujo tupu pale kambini, vijana wanatafuta pesa kwa kuuza mikakati ya mwalimu mitandaoni. Akimaliza Ali Kamwe kuwahoji anaingia kipanduka, akimaliza huyo anaingia yule Mangi, vuluvulu TU, hakuna utulivu.
 
Walifanya hayo makosa lakini Yanga akawa bingwa
Yanga inacheza CAFCL lakini timu lako Linacheza mashindano ya akina mama aka shirikisho
Katika washabiki wajinga wa Yanga wewe pia umo.

Jamaa anakueleza facts wew unaishambulia club nyingine badala ya kujibu kwa hoja.

Kuna kipindi gamondi alikataa haya mambo ya Max day sijui,breach day sijui Pacome day.

Technically muwe mnakubali kupokea na sio kushambulia hovyo hovyo tuuu.
 
Uo
Naona leo mmeamua kupasuana wenyewe kwa wenyewe uto kwa uto ngoja tuwaache mtoane kamasi.
Uongozi ni taaluma yenye elimu, ujuzi na misingi yake, tunawakumbusha TU maana tunajua kuwa wanajua ila wanajisahau tyuu. Wao Wanazo faidi mbili za ajira na furaha lakini ss tunayo faida Moja TU ya furaha. Hivyo tunakumnushana ili furaha yetu isituponyoke kiboyaboya.
 
Ni marufuku kwa kiongozi kumkumbatia mfanyakazi kazi wako Kila wakati, labda kwa matukio maalumu makubwa ya nadra kama kushinda taji, au kuokoa vifo.
 
Walifanya hayo makosa lakini Yanga akawa bingwa
Yanga inacheza CAFCL lakini timu lako Linacheza mashindano ya akina mama aka shirikisho
Ha ha ha, mashindano ya rede ya loosers aka single mothers!!
 
Naona leo mmeamua kupasuana wenyewe kwa wenyewe uto kwa uto ngoja tuwaache mtoane kamasi.
Yanga ndiyo timu ambayo unafiki na uchawa hauna nafasi. Tunakosoana huku tukiipenda timu yetu.
 
Back
Top Bottom