Uongozi wa Yanga ulimharibu Gamondi wenyewe, haribuni na huyu

Uongozi wa Yanga ulimharibu Gamondi wenyewe, haribuni na huyu

Loosers haina maana uliyoandika hapa.
Kama looser lina ukakasi tutumie neno weak (hafifu). Isingewezekana timu iliyokosa ubingwa kwenye ligi kwa misimu 3 mfululizo iendelee kucheza CAF CL. Shirikisho ni uchochoro kwa timu zenye afadhali kwenye ligi zao kucheza shindano hili.
 
Kiingereza kinakupiga chenga anayeshindwa kwenye shindano haitwi looser.Looser ina maana nyingine kwenye Kiingereza. Na wewe ukarukia tu kwa kiherehere chako.
 
Kiingereza kinakupiga chenga anayeshindwa kwenye shindano haitwi looser.Looser ina maana nyingine kwenye Kiingereza. Na wewe ukarukia tu kwa kiherehere chako.
loser je? Kuna kitu kinaitwa "common mistakes"
 
Umeshaenda ku google .Eti common mistakes?.Ungekuwa unajua Kiingereza ungejua tofauti.
Aliniambiaga jamaa yangu kutoka Uingereza kuwa wanaojua kiingereza fasaha (the gold standard) hapa duniani ni watu wa London tu baasi, wengine wote wana afadhali zinazotofautiana kueleweka tu basi. Kwahiyo using'ang'ane na Kiingereza jikite kwenye hoja.
 
Walifanya hayo makosa lakini Yanga akawa bingwa
Yanga inacheza CAFCL lakini timu lako Linacheza mashindano ya akina mama aka shirikisho
Manara alikuwa mbele ya muda kusema hko wenye akili wawili tu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Manara alikuwa mbele ya muda kusema hko wenye akili wawili tu
Msisahau kuwa hayo mashindano yenu Yanga ilicheza finali ikatolewa kwa goli la ugenini kwa figisu za uwanjani. NI mashindano madogo sana, kazeni buti acheni maneno.
 
Ally umeanza kumfunga mzize mawe miguuni n shingoni. Mzize atacheza akiwa na stress za kipuuzi alizopewa na Ally kamwe. Mpira ndiyo kazi yake kijana, kufunga goli ni self motivation kwake kwani anahitaji kwenda kule waliko akina Mbwana na sio kulipwa watu wakanunue dukani kwake. Kwani alicheza peke yake? Vipi kama mabeki wangeruhusu magoli 3 kufungwa, bado ungeenda dukani kwake? Msiharibu na kugawa wachezaji.
 
Back
Top Bottom