Kama looser lina ukakasi tutumie neno weak (hafifu). Isingewezekana timu iliyokosa ubingwa kwenye ligi kwa misimu 3 mfululizo iendelee kucheza CAF CL. Shirikisho ni uchochoro kwa timu zenye afadhali kwenye ligi zao kucheza shindano hili.Loosers haina maana uliyoandika hapa.
Kiingereza kinakupiga chenga anayeshindwa kwenye shindano haitwi looser.Looser ina maana nyingine kwenye Kiingereza. Na wewe ukarukia tu kwa kiherehere chako.Kama looser lina ukakasi tutumie neno weak (hafifu). Isingewezekana timu iliyokosa ubingwa kwenye ligi kwa misimu 3 mfululizo iendelee kucheza CAF CL. Shirikisho ni uchochoro kwa timu zenye afadhali kwenye ligi zao kucheza shindano hili.
Umeshaenda ku google .Eti common mistakes?.Ungekuwa unajua Kiingereza ungejua tofauti.loser je? Kuna kitu kinaitwa "common mistakes"
Aliniambiaga jamaa yangu kutoka Uingereza kuwa wanaojua kiingereza fasaha (the gold standard) hapa duniani ni watu wa London tu baasi, wengine wote wana afadhali zinazotofautiana kueleweka tu basi. Kwahiyo using'ang'ane na Kiingereza jikite kwenye hoja.Umeshaenda ku google .Eti common mistakes?.Ungekuwa unajua Kiingereza ungejua tofauti.
Manara alikuwa mbele ya muda kusema hko wenye akili wawili tuWalifanya hayo makosa lakini Yanga akawa bingwa
Yanga inacheza CAFCL lakini timu lako Linacheza mashindano ya akina mama aka shirikisho