YANGA N TAASISI INAYOHESHIMIKA INAYOJIHESHIMU
SIDHANI HUUU UHUNI UNAOTOKEA KWENYE REDIO ZA HESHIMA UKIFANYWA NA HAJI MANARA KAMA UNAKUBALIKA
HAIWEZEKANA TAASISI MOJA IKAWA NA ASEMAJI WAWILI
ALI KAMWE ANA HAKI KUIMBA KUJIUZULU HAMWEZI KUMKALIA KIMYA MPAKA SASA HAJI AKITAMAKA YEYE NDIE MSEMAJI WA YANGA
KAMA MNAWASEMAJI WAWILI TUNAOMBA MAMLAKA ZA UONGOZI ZITOE TAMKO PLS MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
NA KAMA N MMOJA MTOE TAMKO NA MUMWONYE HAJI MANARA KUJITANGAZ
Simba tena? Mbona Simba ina msemaji mmoja?HAIWEZEKANA TAASISI MOJA IKAWA NA ASEMAJI WAWILI. . HAYA MAMBO HAYAVUMILIKI HII SIO SIMBA
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Huyo Haji Manara ni kama kemikali inayotoka katika kitunguu maji kadri utakavyo itolea macho ndivyo itakuumiza.
Wewe endelea na shughuli zako Wala hutopata Maumivu yake.
Inawezekana tu sema wawe na mgawanyo wa majukumu ili huku nje kwa maana mashabiki wafahamu nani atasimamamia majukumu fulani mfano atakaye kuwa na kipaumbele katika kuzungumza na kuhamsisha na mwingine awe meneja wa kitengo hicho cha habari ndani ya klabuYanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu
Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika
Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili
Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.
Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari
Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga
Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
maana yake MANARA YUPO CHINJ YA ALI KAMWE.manara mropokaji.Sijaelewa kwa kweli Haji ni Msemaji Ally Kamwe ni Afisa Habari kuna tofauti gani ya hicho cheo?
Kama uwe na msemaji wa serikali na uwe na waziri wa habari.Sijaelewa kwa kweli Haji ni Msemaji Ally Kamwe ni Afisa Habari kuna tofauti gani ya hicho cheo?
Watu hawataki awepo hata chini ya mtunza vifaa, hatakiwi kabisamaana yake MANARA YUPO CHINJ YA ALI KAMWE.manara mropokaji.
Ila kamwe anatoa taarifa za timu
SASA HAPA UMECHANGANYA. MPAKA SASA SIMBA INA MSEMAJI MMOJA TU SISI WANAFIKA WATATU. MUACHE AJE AONGEZEE NGUVU. HAJI UNAJUA SIMBA WALIMWACHA SISI TUKAMPOKEA SASA UNATAKA AENDE WAPI?ACHA ROHO MBAYA WEWE MDOGO WA ALI KAMWEYanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu
Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika
Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili
Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.
Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari
Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga
Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
Wala Simba hatuna haja ya kumuanzishia uzi, wanaoanzisha ni utopolo wenzio. Soma uzi huu wa PdiddyTokea Manara atoke kifungon, naona nyuzi za kuponda nyingi sana humušInaonesha jamaa ni tishio sana upande ule