Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nafikiri shida ni kwamba manara hapendwi na wanayanga, wanamchekea tu kinafki lakini hawajasahu matusi na dhihaka zake kipindi yupo simba., hata ivyo idara ya habari hakuna pengo kiasi kwamba iwe lazima manara apenyeshwe.Kama uwe na msemaji wa serikali na uwe na waziri wa habari.
Ni vitu tofauti na havihusiani.