Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nafikiri shida ni kwamba manara hapendwi na wanayanga, wanamchekea tu kinafki lakini hawajasahu matusi na dhihaka zake kipindi yupo simba., hata ivyo idara ya habari hakuna pengo kiasi kwamba iwe lazima manara apenyeshwe.Kama uwe na msemaji wa serikali na uwe na waziri wa habari.
Ni vitu tofauti na havihusiani.
Yanga hawakuwa na sababu za kumrudisha huyo jumapili. Zama zake zilishapita na dirisha mango alioingilia alipaswa kurudia huo huo. Tambo zake za kizamani nahisi yeye ndiyo ana mdomo Afrika nzima.Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu
Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika
Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili
Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.
Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari
Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga
Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
Mlinganisho batili. Waziri wa Habari hajihusishi na habari za serikali pekee bali na kuisimamia tasnia ya habari kiujumla. Msemaji wa Serikali anahusika na utoaji wa habari za serikali na siyo kuizungumzia tasnia nzima ya habari. Sioni ni jinsi gani mfano huu unalingana na hao kina Kamwe.Kama uwe na msemaji wa serikali na uwe na waziri wa habari.
Ni vitu tofauti na havihusiani.
Nafikiri shida ni kwamba manara hapendwi na wanayanga, wanamchekea tu kinafki lakini hawajasahu matusi na dhihaka zake kipindi yupo simba., hata ivyo idara ya habari hakuna pengo kiasi kwamba iwe lazima manara apenyeshwe.
Siwashangai, hawaelewi umuhimu wa uwepo wake hapo Yanga.Yanga wanajichanganya wenyewe. Club licencing inasema kuwe na msemaji wa club ili kuepusha mmololongo wa watu watoa taarifa kama zamani ilivyokuwa katibu mwenezi naongea, mwenyekiti anaongea, katibu anaongea, mweka hazina anaongea kifupi ilikuwa vurugu. Sasa hawa Yanga sijui wanaendesha vipi ofisi yao, wachague mmoja awe msemaji basi kuepusha hii mikanganyiko isiyo na faida. Juzi nmeshangaa kwenye press ndogo ya kutangaza mdhamini anaendesha press mwanasheria wa club badala ya CEO.
Huyo ni kitendea kaziSiwashangai, hawaelewi umuhimu wa uwepo wake hapo Yanga.
Hana umuhimu wowote, hatumtaki Yanga.Siwashangai, hawaelewi umuhimu wa uwepo wake hapo Yanga.
Umeshaambiwa huyo mzima mzima ni kitendea kazi na si kiungo kimoja ambacho kinatafutwa. Yanga hii ina imani nyeusi sanaHana umuhimu wowote, hatumtaki Yanga.
Kama mnapenda sana mchukuweni awe msemaji wa msikiti wa Mtoro.
Kumbuka huyu domo bwabwaja hata ccm wamenawa mikono hatakiwi.
Na Pdidy kahamia lini upande ule?Tokea Manara atoke kifungon, naona nyuzi za kuponda nyingi sana humu😀Inaonesha jamaa ni tishio sana upande ule