Uozo serikalini umekithiri, mfumo wa ukusanyaji mapato ni dili la wakubwa!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri.

Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?

Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapato kwa kughushi data, ni lazima ni tatizo la nchi nzima.
 
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hstuna akili nzuri.

Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapsto kwa kughushi data, ni lazima ni tatixo la nchi nzima.
Makushangaa unavyo wanyooshea watendaji wakati msimamizi wao mkuu ni ccm.

Wizi na maovu yote yanayofanyika hapa nchini ni sababu ya mfumo uliowekwa na ccm.

Wananchi amueni sasa tushinikize tupate katiba mpya ili tuweze kuiondoa ccm.
 
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hstuna akili nzuri.

Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?

Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapsto kwa kughushi data, ni lazima ni tatixo la nchi nzima.
Ni kigezo gani kinatumika kumpa mtu... PLATINUM MEMBER hata kuandika hajui..!!!!
 
Bila kuiondoa CCM na kubadili mifumo hakuna kitakachobadilika, Tanzania sio maskini hivyo ni CCM na serikali yake ndio wanatuletea umaskini na dhuluma za haki Kwa wananchi, tuiondoe CCM kwanza halafu tuanze kupigania mifumo gani tuweke na namna ya kuisimamia, ni aibu tupu nchi sasa uchawa ni ajira kubwa
 
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hstuna akili nzuri.

Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?

Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapsto kwa kughushi data, ni lazima ni tatixo la nchi nzima.
Huu mfumo nahisi utakuwa na waziri ya minoti, mwezi wa kwanza, waziri mukubwa (maana huyu cha kwanza alisambaratisha kitengo cha risk pale wizara ya noti, kumbe wana li mufumo la kukusanya minoti nje ya mufumo wa serikali). Ila mi namhurumia sana Dkt Samia, alidhani anapambana na Dkt Magufuli kumbe anapambana na wanandani wake ambao alihisi adui yao ni Dkt Magufuli kumbe ni yeye Dkt Samia na aliwasaidia tu kukamilisha kazi yao ya kumdhihaki Dkt Magufuli akiwa ktk umauti. Sasa sijui itakuwaje maana wenzake inaonekana wana minoti yeye Dkt Magufuli keshamdhalilisha na wananchi hawampendi na wenzake wapo pale wanamuangalia tu
 
Bila kuiondoa CCM na kubadili mifumo hakuna kitakachobadilika, Tanzania sio maskini hivyo ni CCM na serikali yake ndio wanatuletea umaskini na dhuluma za haki Kwa wananchi, tuiondoe CCM kwanza halafu tuanze kupigania mifumo gani tuweke na namna ya kuisimamia, ni aibu tupu nchi sasa uchawa ni ajira kubwa
Jambo hilo halipo, CCM hatuwezi ondoka, sema viongozi wabovu, wezi na wala rushwa inabidi waondoke CCM kwa njia yeyote na wafungwe
 
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri.

Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?

Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapato kwa kughushi data, ni lazima ni tatizo la nchi nzima.
Ajabu ni nini? Si kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
 
Ndio maana kila siku tunasema, nchi hii ukidhibiti wizi na rushwa, Serikali inaweza kukusanya hela nyingi sana na hata hii miradi mingi inaweza kujengwa kwa hela za ndani.
 
Kuishi Tanzania ni laana
Si laana kama ''umefungwa kamba'' na unakula kulingana na urefu wa kamba yako. Kuna wale wanaoshangilia Makonda kuwa ni mchapakazi mimi ndiyo huwa nawaonea huruma kweli kweli. Siku wakija kugutuka mazingaombwe wanayofanyiwa watakuwa tayari wamepigwa!!!
 
Back
Top Bottom