Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Madame B na Mtambuzi tumeshawasili........ananicheka eti kufika tu naanza kufakamia Dompo.

........kwa mbali unawaona Paloma na amu.....

Kipaji Halisi hebu changamka bhana.........umekuja kufurahi....


Afu dada gfsonwin,.mbona ulichelewa?
Tumefika hapa tangu saa 11 twakusubiri wewe.


Asprin nakuona uko na wenzako kwa mbaliiiiiiiii


Leo ni akina Dompo, akina Govinda Kumar ..................akina Gin, akina Whisky, akina Contessa, akina Wi-fi, Bluetooth, internet, ndani..........Bila kusahau kwamba pale LTHP kuna Wire-less.....njoo na iPad yako, iPhone, Tecno, Lumia au Galaxy....utapata huduma hiyo bureeeee.

Bila kusahau nyama choma,
Hapa nikiwa jikoni........
 
Last edited by a moderator:
Usijali.......nakuweka kwenye listi na pia karibu sana mwekundu.
King'asti yuko wapi akifika leo nabambia mwanzo mwisho mwenyewe halafu lazima nidumbukize disc,kila mtu na wake...kivyake...mambo yake weekend party.......mlikuwa bado kukamata mlupo jitumeni mpate hata dend...!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nitulie kwenye hii thread inaonekana ni maji jangwani
 
Ooh strawberry lips! My lov strawberry lips! U did me good! I enjoyed! I am! Hope i wont wake up broke! My dear strooberi lips bottle! Mtambuzi nani kaimaliza?
Mbonyi shafo Palooooooooooooooooooooo!!!

Leo ndo nimejua unapenda kitambi.....

Naenda fuga nguruwe miyeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…