Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Mbonyi shafo Palooooooooooooooooooooo!!!
Leo ndo nimejua unapenda kitambi.....
Naenda fuga nguruwe miyeeeeeeeeeeeeeeeee!!
bado mpo au hamkukesha?. mia
Oooyoooooo!?¤¤¤>it ure Dj himself Dactar wizzy the Time Tible Master ndani ya nyumba ,leo mikasi,visu, chemical za mahabara hazihusi tena nimeweka pembeni hivyo yani Hapanimwendo chikichi mmpumpumpa chiki mpumpa hivyo yani wajanja wote tayari wapo ndani yanyumba bila kuwasahau wanawa 92Dallars KIZOTA ze Dom City Monster
Kumbe na wewe ODM Asprin uliona ile muvi, sikuamini macho yangu, yaani strawbery Lips ninunue mie, halafu bonge ajitwalieMbonyi shafo Palooooooooooooooooooooo!!!
Leo ndo nimejua unapenda kitambi.....
Naenda fuga nguruwe miyeeeeeeeeeeeeeeeee!!
We nawe tumekuzoea, kila siku tunakualika lakini hutimbi maguu, sijui umezoea zile za kwa Mtogole Chimpumubado mpo au hamkukesha?. mia
Mkuu Mwita Maranya nilifurahi uwepo wako, maana wewe ni kama hondohondo mlezi wa wana..
Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kukuletea "mjukuu".....:kev:
Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...All the best guys
Uliwakilisha warembo? lol!Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...
Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...
enhe na habari ya mjini ndiyo ipi?