Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
na hapo umefanikiwa.... maana rafiki yangu mwaJ anavyojidaigi na huyu mtu!
mbona patachimbika!!!!!!!
ukinisoma vizuri hapo wala simfanyii fitna shem, nilikuwa tu nampa taarifa ili azidishe ulinzi.....Of all ze people hata wewe Fixed Point unamfanyia fitna rafiki yako mwaJ? basi huo urafiki wanu umeshaingia luba. Jamani mwacheni mwanamke mwenzenu afaudu ndoa yake kwakuwa hakukosea kumchagua Mwita Maranya.
Wahenga wanasema "kheri kukosea kujenga nyumba lakini sio kukosea kuchagua mke au mume"
unataka kumwambia mentor kuwa nilitoka na Mtambuzi siku ile? yatakushinda wenzako wanavalia njuga mambo ya maana na siyo hayo
ladyfurahia hiyo mmaneno alitusomea Mchungaji siku anatufungisha ndoa mimi na mama watoto wangu. Kwahiyo nilipoyasoma hapo kwako basi nikakumbuka mbaaaaaaaaliii...ulichotaka kusema wewe sema tu usihofu kitu kwani hata yeye anajua kuwa mm nimewekewa morta kwenye mdomo wangu haunaga simile; Mwita Maranya
Hahahaha sasa ladyfurahia mbona unajistukia mwenyewe mpendwa, wapi mimi nimesema hii maneno unayonilisha? btw, Kwani una ugomvi na Mentor hivi karibuni?
ukinisoma vizuri hapo wala simfanyii fitna shem, nilikuwa tu nampa taarifa ili azidishe ulinzi.....
siku hizi hamuachwi ujue, tukiona uhuru hauwafai basi tunapunguza urefu wa kamba tu
Blaza....! mezea hiyo stori... am a happily single man!!!
Blaza....! mezea hiyo stori... am a happily single man!!!
Asee Mentor kwani kuna breakdown imetokea hivi karibuni?
Asprin hivi ndo nini hii tena,
........
Hahahaha sasa ladyfurahia mbona unajistukia mwenyewe mpendwa, wapi mimi nimesema hii maneno unayonilisha? btw, Kwani una ugomvi na Mentor hivi karibuni?
hahahaa yani mtambuzi hapumui mpaka amtaje ledishangilia! eti ndo anapumua! sasa mbona wote tumetajwa?!?!
bora umwachie mungu wako..........hana maneno mengi kama yako!mhm! sina la kusema mie namwachia Mungu
na aliyekwambia umwite mwite kwa kumwamsha aone hapa ni nani? mm sipendi kuingilia ndoa yangu ambayo naishi vizuri tena kwa amani na laaziz wangu,
bora umwachie mungu wako..........hana maneno mengi kama yako!
Mwita Maranya nimehaongeza kilo sabu unusu! sosoliso anakusalimia.....anakuangalia tu!!!
Terms and Conditions Apply!