Punguza unafiki jombaa 😂😂😆Pole ticha 🤣🤣🤣
Huwa mnadhani daraja litabadili maisha yenu lkn mpaka mnazeeka bado mnaandamwa na kausha damu...
Mtotowangu wa kiume akijakuwa mwalimu Natalia sanaaa😭😭😭
Taarifa kama hizi andika Kwa ufasaha,Nini exactly wafuatilie na wapi uzembe upo,siyo haraka hivirWizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu,upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo.Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao,janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Uzembe upi?Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu,upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo.Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao,janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Hili suala sio la SINGIDA DC pekee, ndugu.Hili suala lipo kwenye halmashauri nyingi nchini, Maelekezo ya serikalu yalikuwa wazi na yalitolewa mapema hivyo kutakiwa kufanyiwa kazi mapema ili walimu wapate mshahara mpya tarehe 23 june -2024. Lkn kwenye halmashauri nyingi, mambo sivyo kwani walimu hawajabadilishiwa madaraja yao ili hali barua ya Katibu mkuu ilisema mwisho tarehe 6.6.2024. Waziri wa UTUMISHI wa Umma na OR-TAMISEMI Fuatilieni hili jambo.Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu,upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo.Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao,janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Hili suala sio la SINGIDA DC pekee, ndugu.Hili suala lipo kwenye halmashauri nyingi nchini, Maelekezo ya serikalu yalikuwa wazi na yalitolewa mapema hivyo kutakiwa kufanyiwa kazi mapema ili walimu wapate mshahara mpya tarehe 23 kune -2024. Lkn kwenye halmashauri nyingi, mambo sivyo kwani walimu hawajabadilishiwa madaraja yao ili hali barua ya Katibu mkuu ilisema mwisho tarehe 6.6.2024. Waziri wa UTUMISHI wa Umma na OR-TAMISEMI Fuatilieni hili jambo.
Kabisaa,yaani hatari sana, Mheshimiwa Mchengelwa huwa ni mkali kwenye hili.Hawa watu wa utumishi huwa wanajiona miungu watu, serikali ninapendekeza iwachukulie hatua kali kwa uzembe wa makusudi
We ticha kazana kujaza taarifa zako za kiutendaji kwenye PEPMIS Kila siku. Ukifikisha wastani wa asilimia 60% utapanda automatically. Huna haja ya kugombana na mtu.Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Ndugu ishu siyo ujazaji ni umangimeza wa maofisa husika utadhani wao wanatoa fedha mifukoni mwao,wanapenda kuabudiwa mnoo as if wao ni MunguWe ticha kazana kujaza taarifa zako za kiutendaji kwenye PEPMIS Kila siku. Ukifikisha wastani wa asilimia 60% utapanda automatically. Huna haja ya kugombana na mtu.
Kabisaa,yaani hatari sana, Mheshimiwa Mchengelwa huwa ni mkali kwenye hili.
Roho mbaya,kujuana na rushwa kiufupi utumishi kumeoza,watumishi wa chini wanaonekana km vibaruaKazi kwelikweli.
Shida inaanzia kwenye CV za hao maafsa utumishi. Wanajiendeleza kielimu kiasi Gani kuendana na mabadiliko ya sasa.
Wengi wao wamekalia vyeo tu Kwa michango na kubaki kufuata maagizo tu Toka juu. Ubunifu ni sifuri.
Vyeo vya michongo wengi wao,hofu ya Mungu 0, unategemea nini hapo na wakubwa wamefumba machoHivi maafsa utumishi naonaga kila siku watumishi wakiwalalamikia ni kwamba huko vyuoni kuna somo la dharau na uzembe wanasoma?
Hapa ndipo anapokumbukwa JK2, alikua mtu kwa watumishi wa chiniHizo Ni mbwinu tu... Wala usiwalaumu Halmashauri.
Anyway , Kama ipo ipo tu