mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 989
- 610
Wapi huko?mkuuAfadhali yenu huku mwalimu mkuu anadai kwenye mfumo yy Kam supervisor walimu wake wote hawaon kwenye mfumo wiki nzma sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko?mkuuAfadhali yenu huku mwalimu mkuu anadai kwenye mfumo yy Kam supervisor walimu wake wote hawaon kwenye mfumo wiki nzma sasa
Hiyo mbona ni ishu ndogo tu ya kiuelewa, hao wawasiliane na hiyo ofisi ya utumishi na IT wa halmashauri tatizo watalitatua.Afadhali yenu huku mwalimu mkuu anadai kwenye mfumo yy Kam supervisor walimu wake wote hawaon kwenye mfumo wiki nzma sasa
Suala ni kupanda daraja au umangimeza?Ndugu ishu siyo ujazaji ni umangimeza wa maofisa husika utadhani wao wanatoa fedha mifukoni mwao,wanapenda kuabudiwa mnoo as if wao ni Mungu
Acha kujifanya umeyapatia buana wewe inakuhusu nini wewe mbona unauza hyo kitu yako ya nyuma mpaka unaona maisha marahisi kuna mtu amekuingilia?usitake kila mtu ajue kuwa una enjoy michakato yako ya kupumuliwa kisogoni kenge wewePole ticha 🤣🤣🤣
Huwa mnadhani daraja litabadili maisha yenu lkn mpaka mnazeeka bado mnaandamwa na kausha damu...
Mtotowangu wa kiume akijakuwa mwalimu Natalia sanaaa😭😭😭
Ukali wake audhihirishe kwa kuchukua hatua. Walishamzoea akiunguruma wala hawashtuki wanaendeleza upuuziKabisaa,yaani hatari sana, Mheshimiwa Mchengelwa huwa ni mkali kwenye hili.
Acha Dharau...Walimu kibao wana maisha bora kukuzidi wewePole ticha 🤣🤣🤣
Huwa mnadhani daraja litabadili maisha yenu lkn mpaka mnazeeka bado mnaandamwa na kausha damu...
Mtotowangu wa kiume akijakuwa mwalimu Natalia sanaaa😭😭😭
Mkuu umemaliza kila kitu...Halmashauri ya Nachingwea ndio ipo ivoIfike wakati akina Mchengerwa waanze kuchukua hatua moja kwa moja, huo ukali bila kuchukua hatua ni sawa na picha ya chui tu kwenye karatasi.
Kuna maafisa utumishi nchi hii wana roho mbaya sana kiasi kwamba unajiuliza hawa ni binadamu wa kawaida au ni ukoo wa shetani! Na unakuta safu nzima ni roho mbaya tupu, idara zote humo ndani zinashindana kufanya roho mbaya! Mijitu hela haitoi mifukoni ila haiwezi kuwalipa watumishi fedha zao za kujikimu, likizo, safari, extra duty, uzazi, madaraja nayo ishu, yaani kila kitu shida hadi watu wagombane haswa na asiye mtata anadhulumiwa!
Wizara si kwamba haya hawayajui au wanayajua juujuu tu, hapana, maana watumishi huyaripoti hivyo wanayajua kwa undani kabisa, ila huo ukali bila hatua bado sishawishiki kuamini wapo serious. Ingawa kwa upande wao wanajitahidi sana kutekeleza majukumu yao mengine, ila kwa hili wanapwaya sana. Wajue tu watumishi hawana uwezo wa kuchukua hatua yoyote, wao pekee ndo msaada maana hata vyama vya wafanyakazi vilishawekwa mifukoni mwa hao maafisa, na vinaongozwa na watu dhaifu wenye elimu duni, uwezo duni na hawajui powers zao kama viongozi wa hivyo vyama, wanahitaji kuishi kwa kujikomba na kuhofia vibarua vyao visiote.
Ajabu kuna halmashauri chache ukifika unakuta safu nzima ina watu safi kweli, idara zote watu wana ubinadamu, wanawapenda watumishi wao, wanawajali, wanavaa vitatu vyao na kuhamasika kutatua matatizo yao kadri ya uwezo wao. Nilichobaini ni kuwa roho mbaya au nzuri inaingia sehemu ya utamaduni wa ofisi husika(organizational culture), na ina nguvu sana.
Jukumu kuu la afisa utumishi ni kuhakikisha ustawi wa watumishi na ofisi. Kazi zote anazozifanya zinalenga kuboresha maisha ya mtumishi na ofisi. Kama huwezi kujali rasilimali kuu (watu) uliyonayo hata hiyo ofisi yako itadumaa tu, hakuna muujiza utakaoiinua. Shida ya ofisi za umma zinafanya kazi kwa mazoea hivyo kipaumbele kinakuwa ni maisha yaende tu, mafanikio tunajikuta tunaachia sekta binafsi huko.
Mkuu nikuhakikishie tu kuwa huko vyuoni huwa wale maprofesa na madaktari wanawafundisha vizuri sana, sijui wadau wakifika kazini hupatwa na nini!Hivi maafsa utumishi naonaga kila siku watumishi wakiwalalamikia ni kwamba huko vyuoni kuna somo la dharau na uzembe wanasoma?
Afadhali yenu huku mwalimu mkuu anadai kwenye mfumo yy Kam supervisor walimu wake wote hawaon kwenye mfumo wiki nzma sas
Ndugu habari za PEPMIS ni hadithi 2 ambazo hazina msingi wowote bali HRM wa Wilaya wanalitumia kujifichiaUkali wake audhihirishe kwa kuchukua hatua. Walishamzoea akiunguruma wala hawashtuki wanaendeleza upuuzi
Sawa ndugu,ni kwamba suala la upandishwaji wa madaraja kwa halmashauri hii taarifa hazikutolewa kwa wakati na zilikua za kufichwafichwa wakati zoezi hili kwa halmashauri nyingine taarifa zilitolewa mapemaTaarifa kama hizi andika Kwa ufasaha,Nini exactly wafuatilie na wapi uzembe upo,siyo haraka hivi
Uafadhali uko wapi hapo nduguAfadhali yenu huku mwalimu mkuu anadai kwenye mfumo yy Kam supervisor walimu wake wote hawaon kwenye mfumo wiki nzma sasa
Serikali iwaangalie hawa maofisa husikaNdugu hay
Ndugu habari za PEPMIS ni hadithi 2 ambazo hazina msingi wowote bali HRM wa Wilaya wanalitumia kujifichia
Mkuu hongera kumbe wewe ni mtumishi wa umma? hivi huwa mnapanda kama desturi au kuna vigezo vyovyote? maana hatuoni ufanisi kwa watumishi wengi wa umma.Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Mwamba atakuwa hajapanda kaona akimbilie hukuTaarifa kama hizi andika Kwa ufasaha,Nini exactly wafuatilie na wapi uzembe upo,siyo haraka hivi
Mkuu hongera kumbe wewe ni mtumishi wa umma? hivi huwa mnapanda kama desturi au kuna vigezo vyovyote? maana hatuoni ufanisi kwa watumishi wengi wa uN
We jamaa kwani kua mtumishi ni dhambi!?,af kuhusu ufanisi si mamlaka za kusimamia ufanisi zipo!?Mkuu hongera kumbe wewe ni mtumishi wa umma? hivi huwa mnapanda kama desturi au kuna vigezo vyovyote? maana hatuoni ufanisi kwa watumishi wengi wa umma.
Si nimekupa hongera mkuu! hii kupanda kwa mazoea mi napinga haswaWe jamaa kwani kua mtumishi ni dhambi!?,af kuhusu ufanisi si mamlaka za kusimamia ufanisi zipo!?
Hili jukwaa lipo kwa kazi gani jombaa 😂Mwamba atakuwa hajapanda kaona akimbilie huku
Usijali mwambaHili jukwaa lipo kwa kazi gani jombaa 😂
Kuna vitu huwa mnachanganya ndugu,mazoea hata mimi siungi mkono ila watumishi wa chini Wana haslte na wanafanya kazi katika mazingira magumu sema ndo ivo tenaSi nimekupa hongera mkuu! hii kupanda kwa mazoea mi napinga haswa