- Thread starter
- #41
Jitahidini kutafiti msiwe mnaishia kulaumuUsijali mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidini kutafiti msiwe mnaishia kulaumuUsijali mwamba
Una haraka sana, unaandika kama Bambo comedian. Serikalu, 23 kune /June? La msingi ni Dm hako kabarua ka GS basi 😊😊Hili suala sio la SINGIDA DC pekee, ndugu.Hili suala lipo kwenye halmashauri nyingi nchini, Maelekezo ya serikalu yalikuwa wazi na yalitolewa mapema hivyo kutakiwa kufanyiwa kazi mapema ili walimu wapate mshahara mpya tarehe 23 kune -2024. Lkn kwenye halmashauri nyingi, mambo sivyo kwani walimu hawajabadilishiwa madaraja yao ili hali barua ya Katibu mkuu ilisema mwisho tarehe 6.6.2024. Waziri wa UTUMISHI wa Umma na OR-TAMISEMI Fuatilieni hili jambo.
Ooh sikuwa nimekupata mwanzo. Nilidhani unazungumzia matatizo ya mfumo wenyewe.Ndugu hay
Ndugu habari za PEPMIS ni hadithi 2 ambazo hazina msingi wowote bali HRM wa Wilaya wanalitumia kujifichia
Rufiji mkuu hadi Leo mwalimu mkuu anahangaika na sisi hatujui tumshtaki au tumvumilieWapi huko?mkuu
Nyinyi angalau mmeshawekewa alama lkn huku mkuu hawez kuweka score maana hatuoni kwenye mfumoUafadhali uko wapi hapo ndugu
Kwenye hili JK2 atabaki kua mwamba no matter whatNyinyi angalau mmeshawekewa alama lkn huku mkuu hawez kuweka score maana hatuoni kwenye mfumo
iyo ishu inaendelea hata chemba DC pesa za uhamisho zinaliwa tu n wakuu wa idaraSINGIDA DC kuna uozo wa kutisha,baadhi ya wakuu wa idara wanapiga michongo na hao maofisa utumishi, kimsingi kuna makusudi hufanyika kukomoa watumishi wa chini.Mchengerwa iangalieni Singida DC kwa jicho la tatu
Ni sehemu nyingi tu. Yaani utadhani kuna mafunzo maalum wameyapitia kwa pamoja.Mkuu umemaliza kila kitu...Halmashauri ya Nachingwea ndio ipo ivo
Wewe kama ni mwalimu nakupa ✅ nimewachokoza kunawalimu wanatoka matusi yakipepo na wamesoma saikolojia lkn mapepo yamewazidi nguvu 😞Punguza unafiki jombaa 😂😂😆
Waalimu punguzeni kulalamika hata mishahara bado haijatoka unanalimika hujapanda cheoWizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Is that a delay tactic!?,Ooh sikuwa nimekupata mwanzo. Nilidhani unazungumzia matatizo ya mfumo wenyewe.
Kuhusu mfumo kutumika kama chaka la kujifichia limeshakuwa tatizo jingine, na tunakoelekea litakuwa sugu kwelikweli kwa hao magaidi waliojisimika maofisini.
Una haraka sana, unaandika kama Bambo comedian. Serikalu, 23 kune /June? La msingi ni Dm hako kabarua ka GS
We jamaa hujui çhochote,lengo ni kua utendaji kazi wa hawa watu uñatia mashaka,suala hili sio la jana wala juzi jielimishe k ndugu.Mpaka unaona yanasemwa haya jua tunajifunza kutoka kwenye yaliyopita.Ni walimu wangapi walipanda madaraja 2021 mwezi wa sita km barua zinavyoonyesha ila mabadiliko wakayaona mwezi wa kumi.Acha dharau wewe au ninyi ndio mnaoshiriki vitendo hivyo,mpaka leo hakuna malipo ya areas.Kiufupi ofisi nyingi za utumishi zimeozaWaalimu punguzeni kulalamika hata mishahara bado haijatoka unanalimika hujapanda cheo
Wewe kama ni mwalimu nakupa [emoji736] nimewachokoza kunawalimu wanatoka matusi yakipepo na wamesoma saikolojia lkn mapepo yamewazidi nguvu [emoji20]
Uzuri maisha hayana guarantee unaweza ukadharau kazi za wenzio halafu ukafa na usishuhudie mwanao anavyo pakua ndizi pale mahakama ya ndizi.Pole ticha 🤣🤣🤣
Huwa mnadhani daraja litabadili maisha yenu lkn mpaka mnazeeka bado mnaandamwa na kausha damu...
Mtotowangu wa kiume akijakuwa mwalimu Natalia sanaaa😭😭😭
Walimu Tz mnaudhi maana mnatumika vibakya kisa njaa!! natunajua mnavyoiba "kula" zingatia neno "kula".Kwan shida ni nini kaka? Hata km walimu wana shida kwann usiwaache na shida zao? Mbona hili andiko sijaona umetajwa ww personally kiasi uwaseme walimu? Na kwann unajumlisha walimu wote? Respect basi hata hao wachache waliokufundisha kpnd unasoma. Pia walimu ndio waliokutoa tongotongo au mwanetu ulifundishwa na babaako km Peter Stockmann wa kitabu cha An Enemy of the People?
Walimu nchi nyingi wanaheshimika kutokana na uthabiti,uwezo wakitaaluma,uchapakazi nk.Uzuri maisha hayana guarantee unaweza ukadharau kazi za wenzio halafu ukafa na usishuhudie mwanao anavyo pakua ndizi pale mahakama ya ndizi.
Walimu nchi nyingi wanaheshimika kutokana na uthabiti,uwezo wakitaaluma,uchapakazi nk.
Hapakwetu walimu hutumika mfano kukwiba "kula" weka r mwenyewe... Been there done that!!! Saii mate yanawadondoka kwaelections za 2025
Mnanyonywa na CWT na hamuwezi kusimamia ipasavyo, mnahenyeshwa hata nakamati za siasa na mnanywea hamna uhuru,mnasahihisha mitihani kwamateso nakulala vitanda vya kunguni na mnalilia mpewe iyonafasi!!!
Nimekaa huko nikatoka nikazi niliyoichukia maana Kwa Tz imekuwa kazi dhalili sema mnavumilia kama wanafunzi.... Bora niwe dalali kitaa sipelekeshwi hadi na visekretari halmashauri [emoji20]! Sana visekretari vinanishobokea