Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!

Ni moja ya sheria za maagent
Hawatakiwi kujuana
 
JWTZ wana unit ya military intelligence ama M.I
military intellegence wanashugulikanku gather intelligence kwenye uwanja wa vita.. au kwa nchi yoyote inayotaka kuvamia ardhi ya nyumbani.

kazi yao hasa ni kupata taarifa za ki intelligencia kuhusu jeshi husika..
mfano: uwezo wa jeshi la adui, idadi,vifaa wanavyotumia, njia gani watapita.
then hizo taarifa hutumwa jeshi la nyumbani kuwasaidia kufanya maamuzi kumdhiniti adui.

Na ili kufanikisha hili.. hiki kitengo kinakuwa na ma-officer ambao ni spies wa jeshi (I.O ama intelligence officer) wanaenda front ku gather hizo taarifa kuhusu jeshi la adui.
Na wao hutumia similar methods wanazotumia TISS ku gather intelligence.

Kuhusu kama wanaweza.. yes the military is very capable.
 

hapo mwisho umejichanganya kidogo...yupo rafiki yangu nilisoma nae ni komando wa Jwtz lkn anafanya kazi TISS
 
Kwa uelewa wangu hizi ni Taasisi 2 tofauti ingawa ni kweli kwamba moja inaweza kujipenyeza kwa mwenzie. TISS kazi yao ni kukusanya taarifa mbalimbali hata udaku na kufumaniwa as long as zinamuhusu mtu wanauemfuatilia na kuziwasilisna sehemu husika kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Sasa TISS wana namna nyingi za kufanya kazi na pamoja na kuwa na waajiriwa wa kudumu pia huweza kutumia mtu yoyote ili kuwasaidia kupata info wanauoihitaji ndio maana sio ajabu kukuta changudoa anatumika na TISS au Mkeo akatumika kupata info kwako kwa kulipwa/kutishwa au hata kuwa blackmailed. Kwa muktadha huu sio ajabu kumkata TISS ndani ya JWTZ ingawa nakuhakikishia wasingependa by miles kuwa na TISS ndani yao.

Sasa JWTZ pia wana kitengo chao cha intelligence ambacho kazi yake kubwa ni kukusanya intel kwa ajili ya usalama wa nchi na kinaleta taarifa kwenye channel za jeshi kwa ajili ya matumizi ya jeshi. Mfano in times ya operation hizi intel ndio hutumika kuamua kama jeshi linashambulia ama la, na kama linashambulia linatumia njia gani, wanatumia makomando, au inatuMwa manowari au inakuwa air strike nk.

Sasa taarifa za Tiss haziwezi kutumiwa direct na JWTZ kwasababu huwa ni inconclusive kwa matumizi ya jeshi lakini zinaweza kutoa mwanga na hivyo JWTZ kutuma watu wao wa intel ili kuleta taarifa zinazoweza kufanyiwa kazi kijeshi.

Nadhani ntakuwa nimesaidia kuongeza mwanga kidogo
 

Ok
 
Mkuu umetisha
 
Hivi usalama wakutaka kuchukua mtu inakuwaje kuna jamaa yangu moja ni mtumishi wa taasisi fulani watu wake wa karibu walishauliziwa sana kuhusu yeye tabia zake na hao watu wake wakaribu wengine walishapewa na maform ya kujaza ndo wanataka kumchukua au inakuwaje..?
 
Sidhani kama ipo hivyo
 
Usalama wa taifa ni neno pana sana hata ww pia ni usalama wa taifa sema kujiunga na kazi ya kuwa ofisa usalama wa taifa upande wake wa pili ukoje mzee hii kazi ni ngumu mno tofauti na watu wengi wanavyozani ni bora uwe mwanajeshi kuliko kiwa kachelo wa TISS.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…