Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!

Ni moja ya sheria za maagent
Hawatakiwi kujuana
 
IMG_3490.jpg

Ukisikia kijana anataka kujiunga hiki ndio anawaza
 
upo sawa kabisa lkn ugumu upo hata jwtz hawawezi kupandikiza mtu(askari wa jwtz) nchi nyingine mfano kuwa daktari au mwanasiasa lkn tiss wanaweza

japo kuna baadhi ya wa Tz nawajua wapo Rwanda na ni wanajeshi huko sidhani kama master plan wa huo mchongo walikuwa ni jwtz
JWTZ wana unit ya military intelligence ama M.I
military intellegence wanashugulikanku gather intelligence kwenye uwanja wa vita.. au kwa nchi yoyote inayotaka kuvamia ardhi ya nyumbani.

kazi yao hasa ni kupata taarifa za ki intelligencia kuhusu jeshi husika..
mfano: uwezo wa jeshi la adui, idadi,vifaa wanavyotumia, njia gani watapita.
then hizo taarifa hutumwa jeshi la nyumbani kuwasaidia kufanya maamuzi kumdhiniti adui.

Na ili kufanikisha hili.. hiki kitengo kinakuwa na ma-officer ambao ni spies wa jeshi (I.O ama intelligence officer) wanaenda front ku gather hizo taarifa kuhusu jeshi la adui.
Na wao hutumia similar methods wanazotumia TISS ku gather intelligence.

Kuhusu kama wanaweza.. yes the military is very capable.
 
Mkuu hawa Tiss wanafungamana kila upande hawana upande maalumu ili kuhakikisha ulama wa nchi upo shwali kila Kona ndo maana kila upuuzi unaofanyika ndani ya nchi haufichiki Unakuta wakulu wanafahamu kila kitu ila tofauti na TPDF na ndo maana (Tiss) unaweza wakuta (TPDF) kwa vivuli ila (TPDF)ni ngumu kuwakuta (Tiss) haya mambo mpaka unaweza changanikiwa hayaeleweki yanaitaji ikili nyingi na mda

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

hapo mwisho umejichanganya kidogo...yupo rafiki yangu nilisoma nae ni komando wa Jwtz lkn anafanya kazi TISS
 
Kwa uelewa wangu hizi ni Taasisi 2 tofauti ingawa ni kweli kwamba moja inaweza kujipenyeza kwa mwenzie. TISS kazi yao ni kukusanya taarifa mbalimbali hata udaku na kufumaniwa as long as zinamuhusu mtu wanauemfuatilia na kuziwasilisna sehemu husika kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Sasa TISS wana namna nyingi za kufanya kazi na pamoja na kuwa na waajiriwa wa kudumu pia huweza kutumia mtu yoyote ili kuwasaidia kupata info wanauoihitaji ndio maana sio ajabu kukuta changudoa anatumika na TISS au Mkeo akatumika kupata info kwako kwa kulipwa/kutishwa au hata kuwa blackmailed. Kwa muktadha huu sio ajabu kumkata TISS ndani ya JWTZ ingawa nakuhakikishia wasingependa by miles kuwa na TISS ndani yao.

Sasa JWTZ pia wana kitengo chao cha intelligence ambacho kazi yake kubwa ni kukusanya intel kwa ajili ya usalama wa nchi na kinaleta taarifa kwenye channel za jeshi kwa ajili ya matumizi ya jeshi. Mfano in times ya operation hizi intel ndio hutumika kuamua kama jeshi linashambulia ama la, na kama linashambulia linatumia njia gani, wanatumia makomando, au inatuMwa manowari au inakuwa air strike nk.

Sasa taarifa za Tiss haziwezi kutumiwa direct na JWTZ kwasababu huwa ni inconclusive kwa matumizi ya jeshi lakini zinaweza kutoa mwanga na hivyo JWTZ kutuma watu wao wa intel ili kuleta taarifa zinazoweza kufanyiwa kazi kijeshi.

Nadhani ntakuwa nimesaidia kuongeza mwanga kidogo
 
Ok
 
Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa militaristic sana na TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe. Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.

Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mfano tu, mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Mind" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.

NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.

Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........

NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........
Mkuu umetisha
 
Hivi usalama wakutaka kuchukua mtu inakuwaje kuna jamaa yangu moja ni mtumishi wa taasisi fulani watu wake wa karibu walishauliziwa sana kuhusu yeye tabia zake na hao watu wake wakaribu wengine walishapewa na maform ya kujaza ndo wanataka kumchukua au inakuwaje..?
 
Sidhani kama ipo hivyo

Usalama wa taifa ni neno pana sana hata ww pia ni usalama wa taifa sema kujiunga na kazi ya kuwa ofisa usalama wa taifa upande wake wa pili ukoje mzee hii kazi ni ngumu mno tofauti na watu wengi wanavyozani ni bora uwe mwanajeshi kuliko kiwa kachelo wa TISS.....
 
Back
Top Bottom