Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Jeshi ndio kazi nzuri kabisa sbb unaingia moja kwa moja kupigania nchi inapobidi, na pia kawaida ya jeshi halina umbea umbea,,,
Jeshi kazi nzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] laiti ungejua ugumu wa jeshi usingetamani jeshi...
 
NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.

JESHI LIKIAMUA HAO TISS HAWANA UWEZO WA KUFANYA LOLOTE NDO MAANA UNANONA COUP NYINGI ZINAZOTOKEA HUWA ZINAKUWA ZA JESHI NDO MAANA MA RAISI WANAWEKA WAKUU WA MAJESHI WATU WAO
 
Jeshi kazi nzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] laiti ungejua ugumu wa jeshi usingetamani jeshi...

Unafanya kazi za watu ila hao watu huwaoni[emoji16][emoji16].
 
Jeshi kazi nzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] laiti ungejua ugumu wa jeshi usingetamani jeshi...
ni kazi nzuri ukiwa top.. From capt na kuendelea na ukiwa na kitengo. otherwise ukiwa ni mbarara huendi mahali
 
TISS ni moja ya kazi complex sana.
watu wanakuwa inspired na movie za kijasusi lakin in reality hizo kazi ni ngumu.
unaweza usiishi kwa uhuru mpaka unastaafu.
uzalendo wa hali ya juu na kujitolea sana kwenye hii kazi vinahitajika
 
Ni Tiss lakini kwakivuli cha commando wa jwtz umenipata mkuu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
no bado ni active officer wa JWTZ. isipokuwa amekuwa attached TISS kama direct action officer ndani ya TISS.
Direct action units ziko responsible ku apply kazi za paramilitary kwenye operation za TISS pale panapohitajika.
Members wa hivi vikosi wanakuwa wana background za jeshi au bado ni active members wa jeshi.

kuwa attached na TISS kutoka kitengo chochote aimaanishi kazi ulipotokea imesha no. zinakuwa temporary attachments.
 
You sound like wa kwetu kwetu.......
 
ni kazi nzuri ukiwa top.. From capt na kuendelea na ukiwa na kitengo. otherwise ukiwa ni mbarara huendi mahali
Na unapo zungumzia real soldier ni Maaskari ma ather ranks wapiganaji hawa ndo wanajeshi sasa awo ma ofisa wanakula shumbwela tuu wanatokwa mavitambi wanapata ma presha na masukari tu mana hawana kazi yao kukaa ofisini kumonitor watu kuongoza watu bac ila balaa likitokea vitani wao wanakaa katikati wafuasi mbele na nyuma wanalindwa wao jeshi ni kazi ya Kis*ng* sana unakuta kipfisa kitoto kidogo ki capten nikakupiga beat mpaka unapagawa unarudi nyumbani kila siku una ma stress tuu...
 
Apo ndo utajua umuhimu wa elimu au cheo ukiwa jeshini

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ndani ya JWTZ kuna TISS kibao tu,na ndani ya military intelligence pia wapo na wapo pia military intelligence lakini sio TISS
 
ASKOFU wa Catholic mlezi wa scout ni tiss

Shehe wa daa ni tiss

Menyekiti wa taboa ni t.iss

Umeona hiyo diversity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…