Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Polisi wasiachwe peke yao.

Rais kama ana akili zinazochaji aunde kikosi cha siri kinachojumuisha wataalam wa mawasiliano, psychoanalyst, askari wa ndani, intelligence advisors kutoka nje kwa kuanzia aujue ukweli wa hili jambo.

 
Tuache ya Marekani, tuongelee huyu wa leo hapa nchini mwetu. Je, ni Muislamu au siyo Muislamu?
 
Huyu jamaa baba yake amewaachia migodi ya dhahabu chunya wana hali nzuri sana ya kiuchumi,
Kilichotokea ni kwamba jamaa walimtosa visa ya kwenda Ufaransa zaidi ya mara nne nahisi ni kama amewajibu japo hakuwa na huo ujumbe
 
Iyo kesho asubuhi unaweza kuta asikari wametanda kibao kuanzia moroko hadi posta,askari wetu wanacheza na tukio lilipotokea
na wanapiga watu mabuti watakaokatiza mitaa hyo na kusekwa ndani usaidie jeshi ra porisiiiiiiii
 
Askari wakiguswa wao huwa wanakuwa serious, nikikumbuka case ya libetatus barlow wa mwanza napata picha
Hua wanasema you can't kill a police officer and get away with it.

Mnaweza kua na kibaka anasumbua mtaa na polisi wasifanye kitu ila siku akiua polisi, huo mtaa vibaka na wezi wote watakachofanyiwa hawatasahau.
 
unaweza kuta labda kuna jambo aliyendewa na polisi ,u never know na jinsi polis! yetu ilivyo ya kuoneaonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…