Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache ya Marekani, tuongelee huyu wa leo hapa nchini mwetu. Je, ni Muislamu au siyo Muislamu?Ni kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.
Bila shaka mafunzo ya kutumia silaha aliyapata kwenye makambi ya UVCCM.
Hata Hitler alikuwa anaitwa "Soud Adolf Hitler"
Mbowe ni gaidiKuna kitu kinatafutwa...ngoja tuone...ila sijui kwanini nina mashaka sana
Kumbe watoto wa Mbowe nao ni CCM eee?!!!watoto wa kishua asiri yao ccm
Familia Bora hawa jamaa watoto wa upanga na lumumba
Kumbe watoto wa Mbowe nao ni CCM eee?!!!
Ndege wafananao huruka pamoja,ccm hoyee macho kumchuzi hoyee
Noma kweli !!
Hujanijibu ....watoto wa Mbowe si wakishua?!!!wakishua hakai jela fara wewe
Utakutwa ushahidi wa mbowe kuhusika usiwe na papara.Utasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
Saccos hawataki ushahidiSi ndio upelelezi wenyewe ama hujielewi !!?
ni kweli wanatafuta ushahidi
na wanapiga watu mabuti watakaokatiza mitaa hyo na kusekwa ndani usaidie jeshi ra porisiiiiiiiiIyo kesho asubuhi unaweza kuta asikari wametanda kibao kuanzia moroko hadi posta,askari wetu wanacheza na tukio lilipotokea
hii ni edit ya kitoto sanaaa
Hua wanasema you can't kill a police officer and get away with it.Askari wakiguswa wao huwa wanakuwa serious, nikikumbuka case ya libetatus barlow wa mwanza napata picha
unaweza kuta labda kuna jambo aliyendewa na polisi ,u never know na jinsi polis! yetu ilivyo ya kuoneaoneaHuyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .
Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
Kabisa mkuu, kuna kitu polisi walimfanyia jamaa. Familia yake na watu wake wa karibu wanaweza kua na majibu zaidi.unaweza kuta labda kuna jambo aliyendewa na polisi ,u never know na jinsi polis! yetu ilivyo ya kuoneaonea