Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
asante ebu nihata inbox. How?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
29E52BA0-E771-4196-AB23-EBAAE5BAB5B4.jpeg

asante ebu nihata inbox. How?
 
Ni kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.
Mkuu zungumzia na Taliban,Pakistan,Iran na Iraq kule pia marekan hamna unacho sema marekan ni wahuni na wengi wana target zao ukiangalia interests ni tofauti kabisa huwez sema ni magaidi, mtu anakisasi na mwenzie/kundi basi wana pigana shaba. Ila marekan hawalipui malls, public transport, makanisa, shule, etc the vice versa is happening in Islamic countries

Usitake kupaka upepo rangi
 
Jeehi letu la polisi naliamini, ila kuna wale wachache, narudia, wale wachache, wapenda rushwa, waonezi, wenye tamaa, wasiofuta maadili, wanaopenda na hata kujiona miungu mtu kwa kunyima haki raia, hao kwa kweli sina huruma nawo, siwapendi na ndiyo wanaolichafuwa jeshi letu la polisi ...
 
Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.

Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Ndg yangu Magaidi mlowatoa lupango wameanza kazi upya.
Mtajuta kuwa na ..a.a.a.
 
Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
Jamaa huwaga ana hoja za kitoto huyu.

muharifu anaweza toka chama chochote dini yyte.

anadhani muharifu hutoka sayari nyingine!
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Watakuja kusema alikuwa na mawasiliano na mbowe
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.

kama aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi?! vipi hao wafuasi wasio jitambua?! huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi.ya serikali.

uovu ni uovu tu.
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Huyo alikuwa ni mwanachama mkubwa wa CCM ivyo ni vema CCM ifuatiliwe kwa ugaidi huu.

Mungu utoa malipo kwa njia ya karma.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo...
Huyu mwanachama wa CCM kaua kwa ugaidi wake,taja watu aliowaua Mbowe.
 
Back
Top Bottom