asante ebu nihata inbox. How?Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ebu nihata inbox. How?Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
Walisema chadema ina magaidi ,Kumbe na ccm wapo magaidi?
Tena za ccm zipo nyingi tuwajinga wajinga picha ndiyo ileile ya mwanzo wame copy na paste . Ile picha ya uniform ni ngumu sana kuichenga CCM
asante sana, ogopa technolojia. CCM wauaji, watekaji, wabambikia kesi, magaidi. Tuna bahati mbaya kaondoka Muuaji kaja Muuaji
CDM hakuna magaidi, CCM ushuhuda huu hauna mashakaWalisema chadema ina magaidi ,Kumbe na ccm wapo magaidi?
askari gani midabwada tu! Kumbe ni CCM mwenzao. CCM ni magaidi. Hivi tutonye mmemdhulumu nini? Mmedhulumiana nini? maana nyie siyo watuKila la heri askari wetu!
Mkuu zungumzia na Taliban,Pakistan,Iran na Iraq kule pia marekan hamna unacho sema marekan ni wahuni na wengi wana target zao ukiangalia interests ni tofauti kabisa huwez sema ni magaidi, mtu anakisasi na mwenzie/kundi basi wana pigana shaba. Ila marekan hawalipui malls, public transport, makanisa, shule, etc the vice versa is happening in Islamic countriesNi kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.
Unavunja Bega/mguu mtu ana silaha?Akili ipi wamashindwa kulenga shabaha hata vunja miguu au bega? Hivi hawa jamaa kitu gani wako competent?
mbona wewe hapo na ndugu zako makula ARV zao kama hawana maanaTatizo lako siku zote ni kuwahusudu wazungu. Sijui walikumwagia nini mwilini mwako
Ndg yangu Magaidi mlowatoa lupango wameanza kazi upya.Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Polisi wa Siro wameishia kumpiga risasi za makalio tuAkili gani walizotumia?
Shoot 80 off target..
Tena inasemekana jamaa kauawa na sniper wa ubalozi wa France.
Sio police wetu.
Jamaa huwaga ana hoja za kitoto huyu.Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
Watakuja kusema alikuwa na mawasiliano na mboweHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Angalau kidogo ili polisi wetu wachangamke kwenye mambo ya msingi
Kusema kweli lazima watawadaka kwa lengo la ku connect the dot/kutengeneza faili zaidi kumfahamu marehemu[emoji16][emoji16][emoji16] hujakosea
Huyo alikuwa ni mwanachama mkubwa wa CCM ivyo ni vema CCM ifuatiliwe kwa ugaidi huu.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Huyu mwanachama wa CCM kaua kwa ugaidi wake,taja watu aliowaua Mbowe.Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo...