Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Naamini itahusu habari za tishio la ugaidi kwasababu ya matukio yaliyotokea Uganda hivi katibuni, hapa kwetu hatuna shida na ugaidi tena inawezekana tuna hamu nao sana ndio maana tunawapa watu kesi za uongo.
Sasa hivi jeshi la wananchi limeanza tena kutumika kama toilet paper kwa manufaa ya wanasiasa wa CCM.Hatujawahi kuwa na Tanzania ya hovyo kama hii tokea uhuru.
 
Tanzoo hakunaga ugaidi! Ni vyema wazungumzie suala la wanajeshi wale watatu waliodhalilishwa kwa minajiri ya manufaa ya Serikali ya CCM na viongozi wao. Wananzengo kodi zetu wanazitumia visivyo.
 
Naamini itahusu habari za tishio la ugaidi kwasababu ya matukio yaliyotokea Uganda hivi katibuni, hapa kwetu hatuna shida na ugaidi tena inawezekana tuna hamu nao sana ndio maana tunawapa watu kesi za uongo.

Mainstream media kazi inaendelea hata habari hawana
 
Huyo OCD wa Meatu (polisi) achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kutoa kauli inayosababisha taharuki ya ugaidi hapa nchini. Tuna mapolisi useless kabisa! Inawezekana nao waliokotwa majalalani!
 
Watanzania na Haswa Muhimili usio Rasmi yaani waandishi wa Habari/vyombo vya Habari vya Tanzania vinapaswa viwe na Uzalendo wa kuweka masilahi ya nchi yao Kwanza.
NCHI KWANZA........huo ndio uzalendo wa kweli.
 
kwanini Dar na hali makao makuu ya nchi ni DODOMA?
 
Sasa hivi jeshi la wananchi limeanza tena kutumika kama toilet paper kwa manufaa ya wanasiasa wa CCM.Hatujawahi kuwa na Tanzania ya hovyo kama hii tokea uhuru.
Wewe tema tu huu utumbo wako, usijione mjanja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…