Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

2012 matokeo yalitoka ki marks, na ndo mwaka wa mwisho kutoka ki marks std 7,

Ila kuanzia 2013 ndo ilianza kwa Grade. Na mwaka ule kuanzia 210 marks ndo unaenda vipaji, ufundi na bweni.

Nilipata marks 223 nilienda zangu shule ya bweni.
Kweli tuweke utaratibu wa kuamkiana humu
 
Achana na huyu kijana kupangiwa pandambili barabarani kabisa pale mjini mkuu.

Kuna shule iko mbele yake kama unaenda mpakani mwa dom na manyara inaitwa hembahemba,nilienda pale mwaka 2019 kuna mapacha wawili kipindi kile walikuwa kidato cha tatu . Uwezo wao kimasomo kwakweli ulikuwa hauendani na ile shule,yaani mwanafunzi anamfundisha mwalimu.

Nilijiuliza maswali mengi sana kwanini wako pale.

Mimi syo muumini wa kuangalia ukabila lakini eneo lile kwa % kubwa wanaishi wakinga ndyo maana wengi wana akili sana.
 
Ujinga mtupu na una mawazo ya kijima wakati wa giza.

Hao unaowaita ma genius waliokuwa wanapelekwa special talent schools wamelisaidia nini taifa?

Mtoto kama ana akili anazo tu hata asome shule za kata atatoboa tu.
 
Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.
Magenius wa kukariri vitu ama kufanya UGUNDUZI?
 
Kipani na B katika masomo mawili. Siku watoto maelfu wanapata A zote Hadi wa vijijini ndani ndani kabisa.
 
Mimi mdogo wangu alipata grade A darasa la nne , Tukamuweka form two na baadae form four na akapata one ya 9 form four Ana umri wa mika 13 yupo anasoma clinical medicine muhimbili.


Kazi za nyumbani huwa anaachiwa duka anauza na kupiga hesabu na kufata mzigo personally ndo maisha ya kijana hayo.

Kabla haujalalamika mtazame mwanafunzi kuna watu ni Gift from God .
 
Kipani na B katika masomo mawili. Siku watoto maelfu wanapata A zote Hadi wa vijijini ndani ndani kabisa.
Vijijini ndani ndani , unafahamu kuwa huko hakuna waalimu? Mazingira ni magumu katika kujifunza ! Tofauti na mijini halafu anapata huo ufaulu TAIFA linaona ni ufaulu wa kawaida tu !!

Nasema HAPANA kama Taifa tunajijua maeneo yetu ya vijijini TUSIJIFANYE VIPOFU.
 
Ujinga mtupu na una mawazo ya kijima wakati wa giza.

Hao unaowaita ma genius waliokuwa wanapelekwa special talent schools wamelisaidia nini taifa?

Mtoto kama ana akili anazo tu hata asome shule za kata atatoboa tu.
Andika kwa busara ili ujitofautishe !! Kama Taifa halitambuo MAGENIUS au linawatambua kwa MKULULO , pelekapeleka FAIDA yake ndo hiyo hawawezi kuwa na msaada.

Mtoto mwenye akili pale unapomuona anatoboa yy mwenyewe kaa ukijua kuna mengi yaliyotaka kuchipuka kwake YAMEVIA jicho la kawaida linaona KAPAMBANA.
 
Umeandika vzr sana, lkn kuna sababu gani ya kuweka neno " UJINGA"

Au ndo Taifa letu watu wake tupo HIVYO!!

Huo ni mfano mdogo tu! YAWEZEKANA kweli huyo kijana hana SIFA hizo !! lkn chaguzi za shule zinafanyika kwa WELEDI? hawana UVIVU?

Angalia utakuta watoto toka shule moja ya MSINGI wote wanapelekwa SEKONDARI 1.

MF shule za sekondari ziko 3 shule za msingi ziko 4 hapo kinachofanyika ni nn?
Wanafunzi hawachangaywi
 
Tanzania hakuna special school iliyopo chini ya serikali, it is just a propaganda.Kama zipo uspesho wake upo kwenye nini?
Unafuu kulingana na zingine, kisha mnaokutana ni rahisi kusaidiana kimasomo.
 
Mwanangu alifaulu darasa la saba alipata alama A+ masomo yote. Lakini akachaguliwa kwenda shule ya kata ambayo hata waalimu wake ni wachache mno.

Ni upuuzi wa maafisa elimu kusabottage serikali kwa kuvurunda kuwapanga watoto kulingana na ubora wao wa ufaulu ili wazazi wawaondoe watoto kwenye shule za umma na nafasi zao ziuzwe
 
Hapo ndipo tatizo linapoanzia UMEFIKIRI KWA KINA.
 
Wewe fala tu. Nilidhani Justine ana A zote kumbe ana B 2.Are you serious kumuita ni genius?
Genius anapata wapi B ?
Kenge wewe. Yaelekea umeishia darasa la 4
Mm au mleta mada?
Au hujui kutofautisha?
 
Au wa ndugu yake au wa mchepuko wake yote yanawezekana.
Hakika simfahamu kijana HUYU, halafu itoshe kusema tujitahidi kufikiri kwa kina.

Hiki ni kiwakilishi tu! Wapo wengi zaidi ya huyu wanapotea , lkn wale wanaofikiri kwa juu juu HUISHIA kwa justine.
 
Unampakulia minyama mtoto wako au sio
Waweza fikiria hivyo lkn hata hiyo shule acha mwanafunzi SIIJUI,

MWL wake mkuu nilionyeshwa kanisani, kazi ya baba yake niliwaliza watoto wakaniambia ni FUNDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…